Eti wanaume walevi wengi wao hukojoa kitandani wakati wamelala na ulevi wao?
Nimepeia kwenye kijiwe kimoja hapa K/ndoni B nikakuta madereva taxi wanapeana changamoto juu ya swala hili!!!
Wana JF...
Nimekaa Jamvini takribani miezi miwili ila naona maisha yangu ya ndoa yako matatani. Nachelewa sana kutoka kwenye shughuli zangu, ila nikifika nikisha pata chakula cha jioni nahamia kwenye laptop...
Huyu mjukuu amenitisha sana, hebu ona hapa chini
The Finest
JF Senior Expert Member
Join Date: Wed Jul 2010
Posts 5,568
Thanks 1,695
Thanked 907 Times in 729 PostsRep Power
32...
Wana JF kuna siku nikiwa naishi Mkoani Tanga sikuamini kilichonitokea kwani kulikuwa kuna dada mmoja nilisoma nae shule ya sekondari form five na six.Tulipotezana kwa muda na baadae kuja kukutana...
Una kipato kizuri, una mke na watoto wawili. Pembeni una kibinti kikali sana.
Umekipangia nyumba Kijitonyama na umemuwekea mlinzi wa kuilinda.
Siku moja unaenda kumtembelea bila taarifa, unawakuta...
Jamani kwa uzoefu wangu toka nianze mapenzi mpaka sasa nimeoa, mara zote baada ya kufanya mapenzi wanawake hunifuta vizuuuri sehemu nyeti alafu na kujifuta wao pia. Sasa sijui wanafundishwa au ni...
Wakati nikitafuta kivuli ili nijisitiri kwa jua hili kali nimejkuta nimekalia kuti kavu baada ya kupendwa na shemeji yangu.Kisa hichi kimetokea baada ya kupeleka maombi JF kumbe shem nae ni mdau...
Najiuliza siku zote sipati jibu,imekuwa ni kama desturi kwa hawa wa kina dada wanakuwa c wa kweli katika kutaja umri wao wa ukweli,sasa cjui wanaona aibu....kuna vitu ambavyo confidential lakini...
Sabalkheir wangwana, ishafika tena ule mwezi wa mashamramra ya KUO au KUOLEWA. Nimeangalia hapa jamvini, nimengoja kualikwa lakini hamna!!, ama kila mtu ashafunga na kufungwa??????.
Mimi...
...ni kweli kwamba mkimpenda kijana (au mwanume) - an yeye akawa hajui kuwa anapendwa huwa mnamuonyesha chuki?
Swali langu linatokana na kisa cha kweli kifuatacho:
Kuna kijana tuliajiriwa nae...
Safi sana kama ni kweli, kaza kabisa huo mfuniko alimradi tu pesa zote naleta home na tunakula kama familia. Nakupongeza sana maana pengine usingefanya hivyo vijisent vyote vingeishia kwa akina...
Jamani wapwa na mabinam,nisameheni kama nitakua nimewakata stimu zenu,maana wengi wanataka wakija hapa wasome vinavyohusu 'kule chini tu',hata hivyo matokeo ya kwenda chumvini,infii,kusoma plate...
Umri-27
Kazi-Biashara
Tel-0759 283 740
Jinsia-Mme
Please kama wewe ungependa 2we marafiki wa kweli napenda kuchati,ni mcheshi.dhumuni kuu ni kubadilishana idear karibu sana wana JF thanks
Hawa jamaa inaonekana wanakuja kwa kasi sana......naomba tuwapashie wafuatao, kama kuna watu sijaowaona msisite kunistua! They deserve a big clap!!!!
Rutashubanyuma
JF Senior Expert Member...
Married but oh so lonely
"He asked me when I had come back, of course I did not understand. Apparently, my husband was telling his friends that I was working out of town. It was his way of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.