Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Naomba kufahamu hili, umeshawahi kuwa mzazi (kupata mtoto/watoto) ila kabla ya hapo mzee alipenda sana kunyonya maembe bolibo (chuchuzi) na ulikuwa unajisikia raha na furaha katika kitendo hichi na kilikuwa kinakupelekea kuwa na muhemko wa ajabu na kufurahia penzi. Jee baada ya kupata mtoto/watoto na amelitumia/wamelitumia kama hotel yao kwa kuwakuza na wameacha kuitumia baada ya muda wao wa kutokulitumia tena kuisha na mzee akaanza mautundu yake upya ya kunyonya maembe bolibo huwa hisia zenu zinarudi kama awali au huwa zinapungua kutokana na watoto kuburudika na hotel yao?
Naomba mawazo yenye uzoefu na hili
Naomba mawazo yenye uzoefu na hili