Fikiria unamkuta dem wako analiwa denda halafu jana uliwaambia marafiki zako unataka kumvisha pete ya uchumba,na wakati unamuona ndo umetoka kununua pete!!Utaimeza au utaitafuna????
Kinadada nawauliza ivi kuna watakati mnakuwaga na hamu ya kuwakamua (toa cream) waubani, yaani kwamba leo najisikia kumkatia mauno wangu mpaka ajue kwamba nae anamke. Ati wanasema wanaume ndio...
Nimewahi kusoma sehemu fulani,kuwa watu wenye majina ya Rose huwa na matatizo katika mahusiano,aidha ndoa huw a na migogoro au kutoolew kabisa.Baadaya kusoma elimu ile nilifanya utafiti mdigo kwa...
Ni wazuri mno
Umbo namba nane
Wana rangi ya ngozi nzuri sana hasa ukielekea kunako
Wanajua sana shughuli ya majamboz
Wana joto la kutosha
Wachapa kazi sana
Wanajua kukuweka sawa kihisia...
nawasalimuni wote mabibi na mabwana.
Jana nimekutana na classmate yangu fulani tulisoma naye halafu alivyoondoka nikajikuta napata swali.
Huyu classmate yangu ni wale wanaovaa hijabu ya kufunika...
Nimekuwa nikijiuliza mambo haya kwa muda mrefu sasa,utakuta dada wa watu ana hela akaolewa na kijana hohehahe wanakaa kwa muda kidogo wanaachana,mwingine mwanaume ana hela pia ni handsome lakini...
Fikiria umezaliwa peke yako kwenye familia,baadae dingi anakuletea binti home anakuambia ni dada yako alimpata kabla hajakutana na mama yako,muda unapita,unamchukulia kama dada mara mitego...
Umeolewa na mmeishi kwa muda(miaka) mwingi, mumeo ni askari/Mwanajeshi kwa hiyo kuna kipindi anakuwa zamu ya usiku. Siku mmoja ukaja kustukia kuwa mumeo anajihusisha na mambo ya ujambazi nyakati...
Kuna wakati nilisikia kuwa haiwezi tokea ukaona paka wana-doo na ukiona basi siku zako zinahesabika.
Sasa mimi leo asubuhi kigiza hivi nawahi job nikakuta paka wamekunjana barabarani walivyoona...
Wanandoa hatarini zaidi kuambukizwa VVU Send to a friend Thursday, 11 November 2010 20:31 0diggsdigg
Fredy Azzah
MWENYEKITI Mtendaji wa Tume y a Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Fatma Mrisho...
Nimemis miziki ya mduara kama ile ya wana njenje nataka w/end hii nijirushe nayo na jidada mmoja mwenye pesa zake (sijui ndo za dili za ofisini)
Naomba mwenye kujua anijuze mapemaaaaaaaa...
Umeenda kusoma Kenya kwa muda wa miezi 6,nyumbani umemwacha Dingi na mkeo,unarudi unamkuta mkeo ana ujauzito kwenda kupima unakuta ujauzito una miezi 4,akili zinakuruka unamuuliiza mkeo anakueleza...
Etii :peep: wamo:caked:wanao nanihino ?? Au kunanihiliana ?? Yaani mnakutana kwa ufupi mmeanziaa hapa JF na kuendeleza huko nje kikamilifu ? kupependana mapenzi yaani natumai mmenielewa .
Waku mimi ninajiuliza kwanini walioko kwenye ndoa wanataka kutoka na walioko nje wanataka kuingi wakti kilasiku wanasikia mikiki mikiki kilasiku kwenye vyombo vya habari hata kwenye mazingira...
Kila nikipita mitaani nawaona wadada wakiwa wamevaa mikufu miguuni...! Lakini mikufu hii kuna staili za aina tatu nimepata kuziona, nazo ni;
Mkufu unaovaliwa mguu wa kulia pekee
Mkufu unaovaliwa...
Asalam waleikhum wanaJF, naomba mnipatie msaada katika hili kwani lanitatiza siku hadi siku kwani mie mgeni katika hili ingawa katika elimu zote zihusianazo na uzazi sikuwahi kukutana nalo, KWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.