Mfanyakazi mmoja kati ya watatu huangalia ngono ofisini wakati wa kazi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Mfanyakazi mmoja kati ya watatu huangalia ngono ofisini wakati wa kazi

Mfanyakazi mmoja kati ya watatu huangalia ngono wanapokuwa ofisini Friday, January 30, 2009 4:56 AM
Katika kila wafanyakazi watatu mfanyakazi mmoja anatumia kompyuta za ofisini kuangalia video za ngono katika muda wao wa kazi kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa wafanyakazi wa maofisini nchini Uingereza.
Theluthi ya wafanyakazi wa maofisini nchini Uingereza wanaangalia video za ngono kwa kutumia kompyuta za ofisini katika muda wao wa kazi.

Katika asilimia hiyo 33 ya waliokiri kuangalia video hizo zisizofaa katika muda wao wa kazi, ni asilimia 7 tu kati yao walikiri kufumaniwa wakati wakiangalia video hizo za ngono.

Utafiti huo pia ulibainisha kuwa zaidi ya nusu ya wafanyakazi wa maofisini nchini Uingereza walirudi maofisini wakiwa wamelewa baada ya kwenda mapumziko ya chakula cha mchana.

Utafiti huo ulizidi kubainisha kuwa wafanyakazi wengine walikuwa wakinywa pombe kabla ya kuingia kazini huku asilimia 31 wakishindwa kuhudhuria vikao vya kikazi kwakuwa walikuwa wakiendelea na ulabu katika vilabu vya pombe.

Asilimia 62 ya wafanyakazi wa maofisini walithibitisha kutongozana na wafanyakazi wenzao wakati wa kazi.

Asilimia 28 ya wafanyakazi ambao hawakuwa wapenzi wa pombe au video za ngono walikiri kupitiwa na usingizi kwenye meza zao wakati wa kazi.

Utafiti huo uliofanywa na kampuni ya ulinzi wa Email ya Proofpoint ulibainisha pia kuwa robo ya wafanyakazi walikosea na kuwatumia wafanyakazi wenzao meseji za kimapenzi walizolenga kuwatumia wapenzi wao.

Utafiti huo ulifanywa kwa wafanyakazi zaidi ya 400 katika maofisi mbali mbali nchini Uingereza.
 
Hii inadhihirisha jinsi gani NGONO ilivyotawala fikra za binadamu. Je ni asilimia ngapi pia kati ya wanawake na wanaume hufanya hivyo! ningependa itwaje pia.
 
Sasa kama utafiti huo ni kwa uingereza tu,hapa bongo sijui.ila bongo mambo ya internate ofsini siyo kila kompyuta in net,nahisi kupiga michapo na jana ulikuwa kiwanja gani na mtu gani bado yanachukua nafasi kubwa sana maofsini pale bongo
 
[QUOTE=BABA LAO;368071]Sasa kama utafiti huo ni kwa uingereza tu,hapa bongo sijui.ila bongo mambo ya internate ofsini siyo kila kompyuta in net,nahisi kupiga michapo na jana ulikuwa kiwanja gani na mtu gani bado yanachukua nafasi kubwa sana maofsini pale bongo[/QUOTE]

Baba Lao hebu fungua INBOX & OUTBOX za simu zao halafu uone mambo. Aidha namshukuru PInda na Kikwete kufuta kufuta sijui warsha kongamano semina na mazagazaga mengine ya namna hiyo kwani ndiyo yalikuwa yakikamilisha mahusiano ya SMS.
 
Hii thread was very interesting...... ni moja ya zile za mwaka juzi zilizopita kimyakimya

these days kuna some kind of control kwenye mitandao lakini mawazo na maono ya ngono yapo palepale asiee
 
Kama mna proxy server ofisini, na unafahamu zinavyofanya kazi, na mna a serious IT policy, huwezi kufanya upuuzi huu hata siku moja.
 
kwanini hash my boy so u mean u also do what they wrote????ooo my god!!!please hebu nitazame na mim kwa hali nilionayo halafu wenda fanya mambo ya ufska kama hayo hashy what's wrong with u my dear???kukuacha siku 5 tuu ndio ushajitosa huko???niliwaze nibembeleze nipe mahaba yote niliokuwa siyapati mwanzo kwa afya yangu nilionayo bora na ukimwi wavuta maisha kuliko heart my dear dont do dat i l,,,,e u,,:A S 33::nono:,
hivi kuna mtu ameniona?
 
Yap mkuu kuna baadhi ya makampuni yafanya hivyo

Kuna jamaa mmoja alipewa warning na kukaribia kufukuzwa chuo kikuu kwa kudownload software fake akiwa chuoni!

Ukiamua kuzuwia unaweza ila makampuni mengine madogo yanaona hasara kutafuta mtaalamu wakati kumbe wanakula hasara kwa watu kutumia muda mwingi bila ya kufanya kazi :(
 
Anayeangalia ngono na anayefakamia JF wakati wa kazi kuna tofauti gani?
 
Kuna wanafiki wanaojifanya wacha mungu huku ndio waangalia picha za ngono wakubwa. Sielewi kabisa. Au mungu anaruhusu ngono
 
Wanatafta maskills ili wakirudi home wawapagawishe mawife na mahusband.
 
kwanini hash my boy so u mean u also do what they wrote????ooo my god!!!please hebu nitazame na mim kwa hali nilionayo halafu wenda fanya mambo ya ufska kama hayo hashy what's wrong with u my dear???kukuacha siku 5 tuu ndio ushajitosa huko???niliwaze nibembeleze nipe mahaba yote niliokuwa siyapati mwanzo kwa afya yangu nilionayo bora na ukimwi wavuta maisha kuliko heart my dear dont do dat i l,,,,e u,,:a s 33::nono:,

thats not what i ment bi mkubwa....huku tuliko bi mkubwa hiyo picha yenyewe utaipatia wapi site zote blocked.....nilikuwa na peruzi jf sasa nikajikuta niko kwenye column ya mambo ya kikubwa na picha likatokea kuubwa...sasa kwenye jitihada za kurudi nyuma si nikaenda kwenye new posts ndo nikakutana na hii post........nikahisi ka p.didy kaniona vile..
 
huo uchunguzi nahisi ungefanyika kwetu ungegundua haya yafuatayo:-
1- katika watu 100, 30% wamefanya ngono wao kwa wao kama wafanyakazi wa ofisi moja
2- 30% ya maboss wanaume wanafanya mapenzi na wafanyakazi wao ndani ya ofisi zao lunch tyme au after offc hours
3- 70% ya staff wote walio-oa na kuolewa wanacheat wakiwa makazini kwao
4- 50% ya staff wote wanatamaniana ila basi tuu haijapatikana nafasi...laiti kama kungekuwa na ofc ngono day wangeliduu live
5- 50% ya ladies staff wanatamani kutongozwa na ma-boss wao wakiamini watapata maslahi bora katika ajira zao
 
Hapo sikuelewi labda ungenisaidia population na sample size, ningekuelewa!
 
kwani hash ukowapi wewe my boy nahisi kama nshapata kitu hiviii,,,,,kwani nchi ambayo nijuayo link za malovee ni blocked ni dubai tuuuu sasa we uko waaapi???ebu nidoleze kwenye pm naweza nikakutafuta wallah ntajitahid habiby,,,
thats not what i ment bi mkubwa....huku tuliko bi mkubwa hiyo picha yenyewe utaipatia wapi site zote blocked.....nilikuwa na peruzi jf sasa nikajikuta niko kwenye column ya mambo ya kikubwa na picha likatokea kuubwa...sasa kwenye jitihada za kurudi nyuma si nikaenda kwenye new posts ndo nikakutana na hii post........nikahisi ka p.didy kaniona vile..
 
kwanini hash my boy so u mean u also do what they wrote????ooo my god!!!please hebu nitazame na mim kwa hali nilionayo halafu wenda fanya mambo ya ufska kama hayo hashy what's wrong with u my dear???kukuacha siku 5 tuu ndio ushajitosa huko???niliwaze nibembeleze nipe mahaba yote niliokuwa siyapati mwanzo kwa afya yangu nilionayo bora na ukimwi wavuta maisha kuliko heart my dear dont do dat i l,,,,e u,,:A S 33::nono:,

thats not what i ment bi mkubwa....huku tuliko bi mkubwa hiyo picha yenyewe utaipatia wapi site zote blocked.....nilikuwa na peruzi jf sasa nikajikuta niko kwenye column ya mambo ya kikubwa na picha likatokea kuubwa...sasa kwenye jitihada za kurudi nyuma si nikaenda kwenye new posts ndo nikakutana na hii post........nikahisi ka p.didy kaniona vile..

kwani hash ukowapi wewe my boy nahisi kama nshapata kitu hiviii,,,,,kwani nchi ambayo nijuayo link za malovee ni blocked ni dubai tuuuu sasa we uko waaapi???ebu nidoleze kwenye pm naweza nikakutafuta wallah ntajitahid habiby,,,

aaaahhh......hashyyyyyyyyyyyyy
 
huo uchunguzi nahisi ungefanyika kwetu ungegundua haya yafuatayo:-
1- katika watu 100, 30% wamefanya ngono wao kwa wao kama wafanyakazi wa ofisi moja
2- 30% ya maboss wanaume wanafanya mapenzi na wafanyakazi wao ndani ya ofisi zao lunch tyme au after offc hours
3- 70% ya staff wote walio-oa na kuolewa wanacheat wakiwa makazini kwao
4- 50% ya staff wote wanatamaniana ila basi tuu haijapatikana nafasi...laiti kama kungekuwa na ofc ngono day wangeliduu live
5- 50% ya ladies staff wanatamani kutongozwa na ma-boss wao wakiamini watapata maslahi bora katika ajira zao
ni redet au synovate?
 
Back
Top Bottom