tzjamani
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 995
- 30
Jamani msaada kwenye tuta. Ama kweli utamaduni wa watu wengine shida kwangu.
Hawa jamani (wazungu) walianzaje hii kitu? Najua bongo nasi tunaenda huku tu...........
Sijui niseme?
Basi ngoja nieleze kinachonisibu.
Wazungu (wazeee yaani babu/bibi, baba/mama, vijana wa dotcom) iwe kwenye basi, reli, au wanatembea kwa miguu mara dosi ya dakika 5 (kunywa mate, mpaka wanalia kwenye road) ndio safari inaendelea. Wengine tunapata mfadhaiko wa moyo tunawakumbuka wenzetu ambao wako mbali nasi.
Nawakilisha
ila wananikumbusha ........... na kunipa presure na sipendi kuchakachua.
Enzi zetu bongo mtu kuongoza na mkeo mwiko yaani lazima mpishane hatua 100 hata kama mnaenda sehemu moja. Achilia mbali kushikana mikono.
Wataalamu hebu tupeane shule hawa jamaa walianzaje kuwa "huru" hivi?
Je, wanakuwa wako serious in love au wengine wazuga tu?
Wabongo tunaenda huko, nini faida na hasara ya kufika huko?