Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,809
Mashairi haya nimeyasikia kwenye wimbo mmoja hivi.......sijui ni nani kaimba!!
Sikujua kama mwingine unamhudumia, ningejua moyoni mwangu nisingekupokea, ukirudi umelewa na dharau huniletea, nguo zangu hunichania, bila kosa me kujua.
Nimechoshwa na vituko na vipigo, majeraha kila siku, mpenzi wako........Hivi kwa nini...........hunithamini......
Hivi ni kweli unaweza kumfanyia mpenzi wako haya yanayosemwa kwenye huu wimbo au mtunzi kaongeza chumvi??