Mke wa mtu!

yaa raab,,,, naomba uwe wa kwnza kulinda ndoa yao kwani allah asikuchukie ila upate nafas nzuri kesho yaum lkiama na akhera,,,ndio tulivyo hivyo lakini nakuomba ujitahid tenda mazuri epukana na hayo si uislam tu bali dini yoyote hukana na kukukataza ....
 
Mke wa mtu achana nae,tafuta wako.Apo unatafuta kifo.
Unakumbuka yaliomkuta Mr.Kimambi?
 
Ana ning'ang'ania nimfanyeje?

Mke wa mtu achana naye, kwani utendayo kwa wengine nawe utatendewa exactly the same. Imagine wewe ungekuwa mme wake halafu mimi nikawa wewe, halafu tena nikamdu na wewe ukajua.

Kila mtu ana moyo wa nyama mkuu.
 
dena watu kama hawa napata nao wasiwasi sana hapo kaona kitu hakijakubali anataka kubwabwaja humu halafu waeza kuta kashakula kunde wee anataka kumtosa sasa anaona kama ananganganiwa kwanini alimpa chance ya kumganda kama hakufungua milango mwenyewe umefungulia milango vipurupu nyumbani kwako halafu unauliza waliingiaje huoni anatia mashaka

Chauro taratibu
 
Kama utaona mie nimemwuliza ulianza nae wa nini? Hicho ni kiherehere chake tu kashapata alichopata sasa hivi ndo anaona anang'ang'aniwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom