Binti mpweke anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti mpweke anahitajika

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtama, Dec 6, 2010.

 1. M

  Mtama Member

  #1
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,natafuta binti kwaajili ya kumuoa,awe na umri kuanzia 23 mpaka 27,asiwe mwanafunzi labda wa chuo,pia awe sirious,awe anajiamini,nitafute 0769072588,0652505115 na 0786256380
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Dec 6, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Si mchezo aisee na namba umemwaga hadharani??
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mbona hazipatikani hizi namba?
   
 4. M

  Mtama Member

  #4
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namba zinapatikana,ila ni mojawapo kati ya hizo k
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sasa umeweka fumbo....au ni bahati nasibu....atakayepatia ndio huyo huyo
   
 6. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbona feedback hua hamleti?
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yaani napiga kwa juhudi zote, mbona haupatikani
   
 8. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hawaleti feedback kwasababu wanataka kuendelea kupokea ma-application. Infi inaanza mapemaaaa! Kazi kweli kweli.
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Hawa wanawake wa siku hizi miaka 23 mpaka 27 naona soo kuwaita mabinti wengi wamechoka balaa........
   
 10. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mimi nina vigezo vyote lakini sio mpweke,sasa sijui bado nafaa?
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hivi ushaachana na mwajuma?
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Mi nina vigezo vyote ila bado nipo shule ya msingi. Utaweza kunivumilia? Ila nihakikishie kuwa haupo na mwajuma.
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mimi ninaumri wa miaka 29 na nusu
  bado nasoma
  sipendi kuwa serious
  kuhusu kujiamini hiyo usiwe na wasiwasi kabisaaaa..
  na sipendi kupiga simu ..
  na upweke ndo kitu amabacho sikiruhusu maishani mwangu...
  Je bado ninahitajika????
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  jitahidi afro uwe mpweke kidogo halafu huo umri wako punguza japo mmoja. Nitakusaidia kutuma maombi.
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahah lol kwa kweli umenichekesha sana
  mmmmhhh mwaya hii miumri natamani kuipunguza lakini mmmhhh sintoweza kabisa kwani tayari nsha komaa..
  na swala la kuwa mpweke mmmhhh yabidi unisameha ndugu yangu kwani sintoweza kabisa.....lol
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  jamii forums love search
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hutaki pot?
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Naona mods itabidi waitengenezee category yake hii kitu
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Dec 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nakuunga mikono na miguu....
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Na mimi nakuunga na kichwa
   
Loading...