Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,761
- 40,974
Hivi kwanini kina dada wengine wakati wanatwanga, wanatwanga kwa mbwembwe na kupiga makofi kabisa? WEngine wanaimba na nyimbo na miguno juu; haiwezekani kutwanga tu vikaisha?
Nazungumzia kutwanga nafaka ambazo zinahitaji wakati mwingine unyunyizie maji ili zitwangike vizuri.
Nimeyaona haya kijijini. Wanaofahamu huu ufundi wa kutwanga.
Nazungumzia kutwanga nafaka ambazo zinahitaji wakati mwingine unyunyizie maji ili zitwangike vizuri.
Nimeyaona haya kijijini. Wanaofahamu huu ufundi wa kutwanga.