Nimeona mtandaoni habari hii, hakika imenifikirisha sana huu ya hatima ya wake wa viongozi wetu wanasiasa wanao jisahau kuwa wana wajibu mkubwa wa kuwaonya na kuwabadili tabia waume zao kwani ndio...
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete.
Yeye anazungumzia mambo...
Jopo la waangalizi 89 waliobobea kwenye masuala ya demokrasia kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) likiongozwa na Mhe. Silvestre Ntibantunganya limesema uchaguzi wa Tanzania umefuata...
Na Victor Yohana
(uvccmichenjezya@gmail.com)
Mapema mwaka huu tulitangaziwa kuwa Dunia imeingiwa na ugonjwa wa CORONA. Tanzania ilikuwa nchi moja wapo ambayo ilishukiwa kuwa kuna watu wana dalili...
Ikiwa bunge lijalo ni la CCM tupu na limetokana na kuua wapinzani wote porini (Tanzania) haya ndio madhara yanayoenda kutokea ambayo wayajuao ni wachache.
1. Wananchi kukosa wawakilishi wao...
Ukifatilia kwa ukaribu vyama karibu tisa au kumi kati ya 15 vilivyotoa uwakilishi katika uchaguzi huu utagundua havikuwa na itikadi na muelekeo na nia thabiti ya kuongoza nchi, matokeo yake...
Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.
Roughly ni kua 42% ya watu...
Leo kuna jamaa mmoja huko whatsapp ameonyesha mshangao wa ajabu kutokana na yale yaliyotokea siku ya Jumatano na Alhamisi (yaani clip zilizoonyesha kilichodhaniwa au kuthibitishwa ni wizi wa...
Na Emmanuel J. Shilatu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu Tanzania upande wa ngazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aambapo idadi ya waliopiga kura...
Rais Magufuli leo katika sherehe ya kupewa hati ya ushindi wa uraisi, mjini Dodoma amesema ana deni zito la kuwalipa Watanzania.
Anaendelea kusema vitu alivyoahidi kwenye kampeni ni nyingi hivyo...
Salamu Watanzania, ni mwezi mwingine tena MUNGU atuongoze tumalize mwaka salama.
Ni takribani siku 4 zimepita toka uchaguzi wa Rais , wabunge na madiwani upite hongera kwa vyama (wagombea) vyote...
Kuna mambo ni siri sio kila mtu anajua, lakini kuna muda inabidi kuongea ukweli Rais Magufuli ameongeza mishahara baadhi ya sekta muhimu mara dufu
Sekta ya Zakayo yule wa biblia ambaye alipanda...
Watanzania sio wajinga hata kidogo,maana wanahitaji maendeleo. Maana bila maendeleo maisha yanakuwa magumu kwa kila mwananchi. Mfano kila mtanzania anakumbuka wakati taifa letu lilikuwa na...
Takwimu za tume ya Taifa ya uchaguzi zinaonyesha wapiga kura waliopiga kura upinzani ni takribani milioni tatu kati ya milioni kumi na tano waliojitokeza na kati ya milioni 29 walioandikishwa...
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ataapishwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020, hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa...
Kwa wale msiojua kithungu someni tamko la wahisani hapo na safari hii tunaenda kunyooka.
Kabla ya kura hata moja kupigwa kura za Tanzania ambazo zilikumbwa na vurugu na ukandamizaji mkubwa...
Waangalizi wengi wa uchaguzi hasa barani Afrika wanakuwa ni watumishi wa umma walioteuliwa na Serikali zao kuja kujifunza namna uchaguzi ulivyoendeshwa lakini pia kupata mbinu mpya za kuwashauri...
Amani iwe kwenu wajumbe!
Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia...
12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020.
1. EXECUTIVE SUMMARY
Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office...
MATOKEO RASMI YA JUMLA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni 29,759,699
Wapiga kura waliojitokeza Kura ni 15,910,950
Idadi ya kura halali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.