Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Amani iwe kwenu wajumbe!
Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.
Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.
Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na CCM.
Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?
Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.