Rais Magufuli ameongeza mishahara mara mbili ya Kikwete kwenye sekta muhimu

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,867
11,105
Kuna mambo ni siri sio kila mtu anajua, lakini kuna muda inabidi kuongea ukweli Rais Magufuli ameongeza mishahara baadhi ya sekta muhimu mara dufu

Sekta ya Zakayo yule wa biblia ambaye alipanda juu ya mti na baadae aliamua kutubu kwa dhuluma alizowafanyia watu kwa kuwarudishia mara mbili kwa kile alichowapora mambo ni safi, Review zilifanyika kwa umakini leo vijana wanafurahia maisha,Kuna sekta nyingi sana sana

Wanabodi,Kelele ni nyingi lakini kuna sekta mambo ni mazuri sana ,Zipo nyingi sana sana Rais ameongeza mishahara mara dufu na atapita bila kupingwa kwa kishindo

Sekta ya elimu na nyingine mchakato unaendelea kwanza kuwa na database kamili nao wataongezewa tu

Hakuna aliyekamilika ,Watu walioneemeka na utawala wa Magufuli ni wengi sana hasa ongezeko la mshahara kuliko wanaolalamika

Mwezi Julai mwaka huu 2020 Kila mfanyakazi haijalishi sekta gani ameongezewa elfu hamsini yaani 50,000 sio haba,Kwa wenye mishahara mikubwa huwezi ona madhara yake

Kuna sekta watu mishahara imeongezeka mara mbili yaani zaidi ya asilimia hamsini 50% tangu mwaka 2015

Mfano watu waliokuwa wanapokea milioni tano sasa wanapokea milioni kumi

Maboresho mbalimbali yamefanyika kwenye sekta zetu muhimu leo vijana husikii wakiiba pesa tena

Mfano ni sekta ya Zakayo yule wa biblia mambo ni mazuri sana sasa kuliko awali,Vijana Graduate toka shule kwenye sekta ya zakayo sasa wanafurahi sio haba, hata Senior Bosses nao wanafurahia maisha sana

Vijana wa sekta ya zakayo wa biblia mambo safi sasa

Wengi vijana wa sekta hii ya zakayo ni mashuhuda JPM amefanya mambo makubwa tangu mwaka jana

Vijana wa sekta ya Zakayo yule wa biblia njooni hapa muwaeleza CHADEMA jinsi JPM alivyopitisha mishahara
JPM kanyaga Baba mambo tunayaona

Tumetoa tuu hii siri ingawa kwa ethics hairuhusiwi kumjibu Bwana yule anayeongelea Chato, Bwana yule mwambiene akafanye utafiti sekta ya Zakayo wa biblia atajua mishahara imeongezwa kwa kiasi gani
 
Mshahara wangu umepunguzwa tu kodi by percentage,hizo 50/50 wewe umeziona wapi?
Wewe unafanya kazi sekta ya Zakayo ,Unamfahamu Zakayo wa biblia wewe alikuwa anafanya kazi gani?

Hiyo sekta ndio nimetoa mfano,Na zipo nyingi au mpaka watu waweke salary slip ndio mtaelewa
 
Umeandika uongo mtupu, Sekta gani imeongezewa mishahara mara mbili? Punguza uongo na una.fki. Labda kama imeongezwa majeshini huko?

Umeongea upuuzi kweli, yaani ndani ya miaka 5 unasema walimu mchakato wa kuwaongezea unaendelea? Huu ujinga wa kujipendekeza na kukurupuka utaisha lini?
 
Umeandika uongo mtupu, Sekta gani imeongezewa mishahara mara mbili? Punguza uongo na una.fki.
Labda kama imeongezwa majeshini huko?

Umeongea upuuzi kweli, yaani ndani ya miaka 5 unasema walimu mchakato wa kuwaongezea unaendelea? Huu ujinga wa kujipendekeza na kukurupuka utaisha lini?
Madhara ya shule za kata na vyuo vya kata ndio haya

Soma fasihi

Nimetaja sekta ya Zakayo,wewe bado huelewi

Mtu mbele ya waamini fulani anasema Chairfire wewe unauliza ni kitu gani
 
Kuna mambo ni siri sio kila mtu anajua ,Lakini kuna muda inabidi kuongea ukweli Rais Magufuli ameongeza mishahara baadhi ya sekta muhimu mara dufu

Wanabodi,Kelele ni nyingi lakini kuna sekta mambo ni mazuri sana ,Zipo nyingi sana sana Rais ameongeza mishahara mara dufu na atapita bila kupingwa kwa kishindo

Sekta ya elimu na nyingine mchakato unaendelea kwanza kuwa na database kamili nao wataongezewa tu

Hakuna aliyekamilika ,Watu walioneemeka na utawala wa Magufuli ni wengi sana hasa ongezeko la mshahara kuliko wanaolalamika

Mwezi Julai mwaka huu 2020 Kila mfanyakazi haijalishi sekta gani ameongezewa elfu hamsini yaani 50,000 sio haba,Kwa wenye mishahara mikubwa huwezi ona madhara yake

Kuna sekta watu mishahara imeongezeka mara mbili yaani zaidi ya asilimia hamsini 50% tangu mwaka 2015

Mfano watu waliokuwa wanapokea milioni tano sasa wanapokea milioni kumi

Maboresho mbalimbali yamefanyika kwenye sekta zetu muhimu leo vijana husikii wakiiba pesa tena

Mfano ni sekta ya Zakayo yule wa biblia mambo ni mazuri sana sasa kuliko awali

Vijana wa sekta ya zakayo wa biblia mambo safi sasa

Wengi vijana wa sekta hii ya zakayo ni mashuhuda JPM amefanya mambo makubwa tangu mwaka jana

Vijana wa sekta ya Zakayo yule wa biblia njooni hapa muwaeleza chadema jinsi JPM alivyopitisha mishahara
JPM kanyaga Baba mambo tunayaona

Tumetoa tuu hii siri ingawa kwa ethics hairuhusiwi kumjibu Bwana yule anayeongelea Chato,Bwana yule mwambiene akafanye utafiti sekta ya Zakayo wa biblia atajua mishahara imeongezwa kwa kiasi gani
Nani kakwambia magufuli kaongeza elfu 50???? Magufuli kapunguza kodi kwa kiwango cha elfu 50 tena baada ya kuona hali si hali mwezi wa saba hapo juzi .hilo sio ongezeko la mshahara!!!!

Ngoja nikwambie ndugu mtumishi kila mwaka ana kitu kinaitwa annual increment. Hiyo ipo kisheria yaaani vyovyote vile uchumi upande au ushuke lazima uwepo. Magufuli hajaongeza iyo kwa miaka 5.

Watumishi kweli wana hasira nae. Kuna jamaa zangu nawajua Aisee wana hasira sana na huyu jamaa.

Kifupi kama wewe ni mtu wako mshauri ajiandae tu kumpa nchi Lissu hapo October 2020. Ameharibu na kuonea watu vya kutosha. Haeshimu sheria sasa aende tu kustaafu kwa amani hapo October 2020.
 
Kuna mambo ni siri sio kila mtu anajua ,Lakini kuna muda inabidi kuongea ukweli Rais Magufuli ameongeza mishahara baadhi ya sekta muhimu mara dufu

Sekta ya Zakayo yule wa biblia ambaye alipanda juu ya mti mambo ni safi,Review zilifanyika kwa umakini leo vijana wanafurahia maisha,Kuna sekta nyingi sana sana

Wanabodi,Kelele ni nyingi lakini kuna sekta mambo ni mazuri sana ,Zipo nyingi sana sana Rais ameongeza mishahara mara dufu na atapita bila kupingwa kwa kishindo

Sekta ya elimu na nyingine mchakato unaendelea kwanza kuwa na database kamili nao wataongezewa tu

Hakuna aliyekamilika ,Watu walioneemeka na utawala wa Magufuli ni wengi sana hasa ongezeko la mshahara kuliko wanaolalamika

Mwezi Julai mwaka huu 2020 Kila mfanyakazi haijalishi sekta gani ameongezewa elfu hamsini yaani 50,000 sio haba,Kwa wenye mishahara mikubwa huwezi ona madhara yake

Kuna sekta watu mishahara imeongezeka mara mbili yaani zaidi ya asilimia hamsini 50% tangu mwaka 2015

Mfano watu waliokuwa wanapokea milioni tano sasa wanapokea milioni kumi

Maboresho mbalimbali yamefanyika kwenye sekta zetu muhimu leo vijana husikii wakiiba pesa tena

Mfano ni sekta ya Zakayo yule wa biblia mambo ni mazuri sana sasa kuliko awali,Vijana Graduate toka shule kwenye sekta ya zakayo sasa wanafurahi sio haba,Hata Senior Bosses nao wanafurahia maisha sana

Vijana wa sekta ya zakayo wa biblia mambo safi sasa

Wengi vijana wa sekta hii ya zakayo ni mashuhuda JPM amefanya mambo makubwa tangu mwaka jana

Vijana wa sekta ya Zakayo yule wa biblia njooni hapa muwaeleza chadema jinsi JPM alivyopitisha mishahara
JPM kanyaga Baba mambo tunayaona

Tumetoa tuu hii siri ingawa kwa ethics hairuhusiwi kumjibu Bwana yule anayeongelea Chato,Bwana yule mwambiene akafanye utafiti sekta ya Zakayo wa biblia atajua mishahara imeongezwa kwa kiasi gani
Hat sekta ya sare za mabaka mabaaaka pia wameneemeka sana
 
Sekta ya Zakayo ni sekta gani.......?......mbona kuongea kihuni.......?.....
Mmmh unajiita Preta hujui yule mtu tajiri ndani ya biblia aitwae Zakayo ambaye aliamua kuachana na dhuluma na kugawa mali zake kuwarudishia aliowapora

Hii sekta huijui Dada
 
Nani kakwambia magufuli kaongeza elfu 50???? Magufuli kapunguza kodi kwa kiwango cha elfu 50 tena baada ya kuona hali si hali mwezi wa saba hapo juzi .hilo sio ongezeko la mshahara!!!!

Ngoja nikwambie ndugu mtumishi kila mwaka ana kitu kinaitwa annual increment. Hiyo ipo kisheria yaaani vyovyote vile uchumi upande au ushuke lazima uwepo. Magufuli hajaongeza iyo kwa miaka 5.

Watumishi kweli wana hasira nae. Kuna jamaa zangu nawajua Aisee wana hasira sana na huyu jamaa.

Kifupi kama wewe ni mtu wako mshauri ajiandae tu kumpa nchi Lissu hapo October 2020. Ameharibu na kuonea watu vya kutosha. Haeshimu sheria sasa aende tu kustaafu kwa amani hapo October 2020.
Hivi mbona una uelewa mdogo sana

Hiyo elfu hamsini ni kwa wote

Mimi naongelea sekta ya Zakayo yule mtu mfupi kwenye bibilia

Wewe unafanya kazi huko?

Nyie wengine mchakato unaendelea mtaongezewa tu,msihofu
 
Back
Top Bottom