CHADEMA, Corona imekwisha?

Victor Yohana

Member
Apr 30, 2013
31
31
Na Victor Yohana
(uvccmichenjezya@gmail.com)

Mapema mwaka huu tulitangaziwa kuwa Dunia imeingiwa na ugonjwa wa CORONA. Tanzania ilikuwa nchi moja wapo ambayo ilishukiwa kuwa kuna watu wana dalili za virusi vya CORONA alimaarufu COVID -19.

Wakati Dunia ikiendelea kutafuta tiba, Tanzania ilikuwa ikiendelea na vikao vya bajeti (Bunge). Rais Magufuli ambaye ni kiongozi wa nchi aliliongoza Taifa kwenye kupambana na vita hii, huku akiwasisitizia Watanzania kumuomba Mungu. Alisema Mungu ndiye Mweza wa yote, hivyo katika yeye TUTASHINDA! Alizungumza maneno haya mazito nchi nyingi Duniani zikiwa lockdown. Lakini yeye alisema hawezi kuwaweka Watanzania lockdown, kwani madhara ya lockdown ni makubwa kuliko Ugonjwa wenyewe.

Wakati Rais akitamka hayo, Wabunge kupitia CHADEMA walikimbia bungeni na kuwataka Wafuasi wao kutoshiriki mikusanyiko yoyote ikiwemo Ibada. Walisema Watanzania wengi wanakufa na serikali inaficha. Lakini walipoulizwa kati yenu Wabunge mnaoeneza mambo hayo, ni nani familia yake imekufa kwa CORONA? Hawakutoa majibu zaidi ya kubwabwaja maneno na kujifungia ndani.

Wakati CHADEMA wakikimbia Bungeni, wachambuzi wa Mambo ya siasa tuliandika kuwa CDM wametazama mbele na kuona Uchaguzi utakuwa mgumu kwao. Walitaka watumie kigezo cha CORONA ili serikali iingie king na uchaguzi uahirishwe kwa sababu ya CORONA. Walijua ni ngumu kushinda uchaguzi huu, ndio maana waliamini Uchaguzi ukiahirishwa basi watapata nafasi ya wao kuendelea kula posho mwaka mwingine.

Kama kweli CHADEMA walikimbia Bungeni kwa sababu ya CORONA wakiamini kuwa mikusanyiko ni hatali kwao, kwa nini wanafanya kampeni huku wakiruhusu mikusanyiko. Kwani leo CORONA wametangaziwa kuwa imeisha? Kwa nini wasisusie Uchaguzi kama walivyofanya jaribio la kususia Bunge?

Hawa hawakukimbia Bunge kwa sababu ya CORONA, walikimbia Bunge kwa sababu ya kutaka kushawishi Dunia kuwa Tanzania kuna CORONA ili uchaguzi uahirishwe waendelee kuongoza majimbo yao wakati wananchi wamekwisha kuwachoka. Walitaka kutumia CORONA kama kichaka cha kujificha kwenye aibu ya matokeo ambao hadi sasa CCM inakadiriwa kuwa itashinda kwa zaidi ya asilimia 80.

Mbona hawajawatangazia Watanzania kuwa CORONA tuliyokimbia IMEKWISHA? Kama CORONA ipo, hawaoni mikutano wanayofanya ni kuongeza Maambukizo ambayo wao walikimbia Bungeni?

*NINAWAOMBA WATANZANIA WAWAJIBU KWA KUWANYIMA KURA, KWANI WALITUHUJUMU KWENYE BUNGE LA BAJETI*.
 
CHADEMA CORONA IMEKWISHA?

Na Elius Ndabila
0768239284

NINAWAOMBA WATANZANIA WAWAJIBU KWA KUWANYIMA KURA, KWANI WALITUHUJUMU KWENYE BUNGE LA BAJETI
 
Ww unaamini Tanzania hakuna Corona?
Inchi zote duniani Zina Corona Yan Tanzania tu ndio iwe hakuna? 😂 😂
 
Israel na Maka mataifa makubwa ya mungu yapo hadi kwenye vitabu vya dini na Kuna Corona, sembuse Tanzania hahahaha
Basi Corona ya Tanzania haiui kama ya nchi ziingine.
Maana kuna mgombea alitokea nje akafanyiwa mahojiano na akasema watu wajikinge na Corona wavae barakoa n.k
Baadae amegundua ukweli kwamba hicho Kitu huku huenda hakipo na waliokuwa wanampa taarifa walimpotosha unaona sasa hivi havai barakoa wala hakuna social distance ni mwendo wa nyominyomi tu kwenye mikutano ya kampeni.
Wala huwezi msikia anaongelea Corona tena mahali popote maana anajua akiongelea Corona Anajimaliza kisiasa mwenyewe.
Kwenye Corona Magufuli mahesabu yake yalikaa sawa hilo tunampa pongezi.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Ww unaona ni sifa?
Kijana jikinge ww na familia yako, Corona ipo na inaua

Acha hizi mambo za kisiasa
 
Na Victor Yohana
(uvccmichenjezya@gmail.com)

Mapema mwaka huu tulitangaziwa kuwa Dunia imeingiwa na ugonjwa wa CORONA. Tanzania ilikuwa nchi moja wapo ambayo ilishukiwa kuwa kuna watu wana dalili za virusi vya CORONA alimaarufu COVID -19.

Wakati Dunia ikiendelea kutafuta tiba, Tanzania ilikuwa ikiendelea na vikao vya bajeti (Bunge). Rais Magufuli ambaye ni kiongozi wa nchi aliliongoza Taifa kwenye kupambana na vita hii, huku akiwasisitizia Watanzania kumuomba Mungu. Alisema Mungu ndiye Mweza wa yote, hivyo katika yeye TUTASHINDA! Alizungumza maneno haya mazito nchi nyingi Duniani zikiwa lockdown. Lakini yeye alisema hawezi kuwaweka Watanzania lockdown, kwani madhara ya lockdown ni makubwa kuliko Ugonjwa wenyewe.

Wakati Rais akitamka hayo, Wabunge kupitia CHADEMA walikimbia bungeni na kuwataka Wafuasi wao kutoshiriki mikusanyiko yoyote ikiwemo Ibada. Walisema Watanzania wengi wanakufa na serikali inaficha. Lakini walipoulizwa kati yenu Wabunge mnaoeneza mambo hayo, ni nani familia yake imekufa kwa CORONA? Hawakutoa majibu zaidi ya kubwabwaja maneno na kujifungia ndani.

Wakati CHADEMA wakikimbia Bungeni, wachambuzi wa Mambo ya siasa tuliandika kuwa CDM wametazama mbele na kuona Uchaguzi utakuwa mgumu kwao. Walitaka watumie kigezo cha CORONA ili serikali iingie king na uchaguzi uahirishwe kwa sababu ya CORONA. Walijua ni ngumu kushinda uchaguzi huu, ndio maana waliamini Uchaguzi ukiahirishwa basi watapata nafasi ya wao kuendelea kula posho mwaka mwingine.

Kama kweli CHADEMA walikimbia Bungeni kwa sababu ya CORONA wakiamini kuwa mikusanyiko ni hatali kwao, kwa nini wanafanya kampeni huku wakiruhusu mikusanyiko. Kwani leo CORONA wametangaziwa kuwa imeisha? Kwa nini wasisusie Uchaguzi kama walivyofanya jaribio la kususia Bunge?

Hawa hawakukimbia Bunge kwa sababu ya CORONA, walikimbia Bunge kwa sababu ya kutaka kushawishi Dunia kuwa Tanzania kuna CORONA ili uchaguzi uahirishwe waendelee kuongoza majimbo yao wakati wananchi wamekwisha kuwachoka. Walitaka kutumia CORONA kama kichaka cha kujificha kwenye aibu ya matokeo ambao hadi sasa CCM inakadiriwa kuwa itashinda kwa zaidi ya asilimia 80.

Mbona hawajawatangazia Watanzania kuwa CORONA tuliyokimbia IMEKWISHA? Kama CORONA ipo, hawaoni mikutano wanayofanya ni kuongeza Maambukizo ambayo wao walikimbia Bungeni?

*NINAWAOMBA WATANZANIA WAWAJIBU KWA KUWANYIMA KURA, KWANI WALITUHUJUMU KWENYE BUNGE LA BAJETI*.
Asilimia 98.99% ya watu wote wenye verified IDs ndani ya JF ni Takataka
 
Back
Top Bottom