Wake wa Viongozi tumieni nafasi mliyonayo kushauri, mtajikuta pabaya baadae

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,793
71,207
Nimeona mtandaoni habari hii, hakika imenifikirisha sana huu ya hatima ya wake wa viongozi wetu wanasiasa wanao jisahau kuwa wana wajibu mkubwa wa kuwaonya na kuwabadili tabia waume zao kwani ndio wajibu wao na itasaidia sana kuwarudisha kwenye mstari.

Baada ya kumuona mke wa Albashiri akipelekwa jela, nimemkumbuka mke wa Rais Gabgo ambaye naye yalimkuta haya.
Wajiulize sana waonapo waume zao wanaimbwa na kutukuzwa kama Mungu jee ni kwa ukweli au wame engage woga?

Wanapotukana watu wazima hadharani je wanaitambua hasira na uchungu wa kudhalilishwa? Je kama huyo atukanwaye hadharani ndio atakuja kuchukua ofisi itakuwaje?

Wakichekea tabia mbovu watajikuta nao ni sehemu ya Ku suffer pamoja na familia zao. Na hakuna maisha mabaya kama ya kuanzia utukufu na kuishia jela

.
Screenshot_20191214-180034.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza usisahau na kumshauri Dr. Lilian kuhusu hili!
Kweli kabisa, inatia huzuni kumuona mama anatoka kwenye mapochopocho na kuishia maisha ya jela kwa makosa ambayo sio yake!
Wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai, hivyo hata hao wanaojifanya hawasikii kitu huko chumbani wanashaurika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona mtandaoni habari hii, hakika imenifikirisha sana huu ya hatima ya wake wa viongozi wetu wanasiasa wanao jisahau kuwa wana wajibu mkubwa wa kuwaonya na kuwabadili tabia waume zao kwani ndio wajibu wao na itasaidia sana kuwarudisha kwenye mstari.

Baada ya kumuona mke wa Albashiri akipelekwa jela, nimemkumbuka mke wa Rais Gabgo ambaye naye yalimkuta haya.
Wajiulize sana waonapo waume zao wanaimbwa na kutukuzwa kama Mungu jee ni kwa ukweli au wame engage woga?

Wanapotukana watu wazima hadharani je wanaitambua hasira na uchungu wa kudhalilishwa? Je kama huyo atukanwaye hadharani ndio atakuja kuchukua ofisi itakuwaje?

Wakichekea tabia mbovu watajikuta nao ni sehemu ya Ku suffer pamoja na familia zao. Na hakuna maisha mabaya kama ya kuanzia utukufu na kuishia jela

.View attachment 1292439

Sent using Jamii Forums mobile app
1576343234514.png

1576343296604.png

waonyesheni picha hizo waone kuwa kuna kesho, wasijisahau!
 
Attachments

  • 1576343034522.png
    1576343034522.png
    490.2 KB · Views: 1
Acha upuuzi wewe
Nimeona mtandaoni habari hii, hakika imenifikirisha sana huu ya hatima ya wake wa viongozi wetu wanasiasa wanao jisahau kuwa wana wajibu mkubwa wa kuwaonya na kuwabadili tabia waume zao kwani ndio wajibu wao na itasaidia sana kuwarudisha kwenye mstari.

Baada ya kumuona mke wa Albashiri akipelekwa jela, nimemkumbuka mke wa Rais Gabgo ambaye naye yalimkuta haya.
Wajiulize sana waonapo waume zao wanaimbwa na kutukuzwa kama Mungu jee ni kwa ukweli au wame engage woga?

Wanapotukana watu wazima hadharani je wanaitambua hasira na uchungu wa kudhalilishwa? Je kama huyo atukanwaye hadharani ndio atakuja kuchukua ofisi itakuwaje?

Wakichekea tabia mbovu watajikuta nao ni sehemu ya Ku suffer pamoja na familia zao. Na hakuna maisha mabaya kama ya kuanzia utukufu na kuishia jela

.View attachment 1292439

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom