Katiba mpya ndo suluhisho Pekee lililobaki kwa Upinzani kuinuka na kuwa Imara zaidi.Lakini bila kudai katiba mpya nchi itazidi kuwa ya Kijani Mpaka Yesu anarudi.
Upinzani waunganishe nguvu zao...
Wakuu,
Kama mada inavyotanabahanisha, nchi yetu ya Tanzania ina wananchi na wageni wote wanalipa kodi zote stahiki ijapokuwa wanaweza wasitambue kwamba walipa kodi hizo.
Ilikupambana na maadui...
1: Mikoa ya kanda ya kati ni base ya Lissu kwa maana ni mtu wao wa nyumbani kisaikolojia ni ngumu kwa watu wa nyumbani kwako kukuacha kukuunga mkono, kanda hii inatarajiwa kuwa na wapiga kura...
Zipo taarifa ambazo wewe mwenyewe umezithibitisha kuwa mara baada ya Uchaguzi utarudi Ubelgiji, huko ulipokuwa kwa takribani miaka mitatu na kurudi siku chache kabla ya zoezi la Uchaguzi mkuu...
Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba.
Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo...
Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais.
Inawezekana chama kinajiandaa kutoa...
Wenye kuridhishwa, kufurahia na kushangilia huu 'ushindi' wafanye hivyo. Ingawa sielewe kuna faida gani ya kushangilia huu 'ushindi' katikati ya uwanja uliojaa damu.
Ila kitu pekee ambacho...
Naomba kwa kuwa tayari dalili zinaonesha nchi nzima mmechukua kwa kishindo majimbo yote kuanzia udiwani, ubunge na Magufuli kashinda kwa zaidi ya asilimia 120% basi tufungulieni mitandao tuendelee...
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni.
Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi...
Na:
McWenceslaus
31/10/2020
Wapinzani sikieni,
Ujumbe mshikeni,
Iloletwa na wageni,
Ndicho chenu kishikeni.
Wambieni Mabeberu,
Na Robert Amstardamu,
Nchi yetu ipo huru,
na CCM ndio Nuru...
Tanzania mpya itakayo kuwa na maendeleo bora ya kidemokrasia yanayo jali haki ya kila mtanzania tunahitaji kugusa maeneo yafuatayo.
1. Katiba mpya.
2. Kufuta jeshi la polisi na kuunda huduma ya...
Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni.
Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao...
Generally ni Tanzania kuwa kama Ulaya
Arusha kuwa Calfonia
Kigoma kuwa lango la biashara Maziwa Makuu
Mbeya kuwa Chicago
Dar kuwa Birmingham
Tabora kuwa Toronto
Zanzibar kuwa Dubai
Dodoma kuwa...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amemtumia salamu za heri kwa rais mwenzake wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa kushinda uchaguzi uliomalizika hivi punde.
Rais Kenyatta amesema kuchaguliwa tena kwa...
1965-Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 2,520,904 sawa na asilimia 96.46
1970- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 3,220,636 sawa na asilimia 96.7
1975- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa...
Jeshi la Polisi la Zanzibar limekiri kumshikilia Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bw. Nassor Mazrui na vijana wengine 33 wakiwatuhumu kuwa na mabomu na kushiriki harakati mbalimbali za...
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.