Waliomchagua Muheshimiwa mteule John P. Magufuli ni 42% ya wapigakura wote waliojiandikisha

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.

Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.

Hii figure mnaionaje wananzengo?

NB: Watu waliojitokeza kwenda kupiga kura jumla ni milioni 15 sawa na 50%. Inamaana nusu ya wapiga kura hawakuenda kupiga kura.
 
Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8
Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.

Hii figure mnaionaje wananzengo?
Na waliomchagua Tobo ni asilimia ngapi? Na jasusi mbobezi je?
 
Haa😁😂😅😄😏
Tutasikia Mengi Zaidi Tukubali Ujanjaujanja Tu
Mimi Msiponiletea Huyu Mtajuta!!
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha, Usinichanganyie Gongo Rubisi Na Kabugumo.

Kama Unataka Kunywa Gongo Kunywa Yenyewe Usije Ukatuangusha.

Kura Za Maruhani, Waangalizi Nao Wamechangamka Nadhani Wamekunywa
Kabugumo Yaani Wao Wanasema Nzuri
Haa😀😁😂😅😄😐
 
Mambo ya kuanza rudishana darasani mnazingua point ni kashinda kashinda mambo ya asilimia sijui kipenyo mwisho mtaanza ingiza sijui Log sijui hivi ilimradi mtuchanganye wengine ambao hesabu hatutaki hata isikia kwa bahati mbaya.
 
Mimi nina hamu ya kusikia hotuba ya siku ya kuapishwa maana sasa hivi atakuja na chuki za wazi kujua kuwa angeenda kwa njia ya watu walivyochagua saa hizi angekuwa anapanga anunue mbegu gani za mpunga kuanza kupanda Chattle. Sasa basi kwa hasira ya kujua wazi kuwa hapendwi tusubiri makatazo ya kila namna. Ni mwendo wa kuishi ki north korea tu.

tuanze kuzoea kutumia VPN maana si ajabu ikawa ndio mabadiliko ya kwanza ya kudumu, hii ni katika kulipiza kisasi cha kumfedhehesha.
 
Hiyo speech itakuwa ya kejeli, husuda na kuwaandaa watanzania kwa yanayo from that day of speech kila mtu, aliyempigia na asiyempigia ndipo mtajua kwa nini amepewa jina la meko!.
 
Kwa wale mliokua mnapenda hesabu darasani. Magufuli amechaguliwa na watanzania 12.5 million. Watu katika daftari la wapiga kura waliojiandikisha Tanzania nzima 29.8.

Roughly ni kua 42% ya watu wooote wenye vitambulisho vya kura ndio wamemchagua Magufuli.

Hii figure mnaionaje wananzengo?
Waliomchagua Lissu ni asilimia 6.7 kichapo kipo pale pale
 
Tume ilipokuwa ikitangaza matokeo ya UBUNGE ilitaja kila kitu kwa asilimia zake, yaani waliojiandikisha vs waliopiga kura, kura zote vs kura halali, kura zote vs kura zilizoharibika, na mwisho kura halali vs kura za kila mgombea. Lakini wakati wa kutangaza matokeo ya Urais, hakuna hata figure moja iliyowekwa kwenye asilimia.

Binafsi nilihisi uchache wa watu waliomuweka madarakani mgombea unaweza ukawa sababu ya kufichwa hizo asilimia
 
Mimi nina hamu ya kusikia hotuba ya siku ya kuapishwa maana sasa hivi atakuja na chuki za wazi kujua kuwa angeenda kwa njia ya watu walivyochagua saa hizi angekuwa anapanga anunue mbegu gani za mpunga kuanza kupanda Chattle. Sasa basi kwa hasira ya kujua wazi kuwa hapendwi tusubiri makatazo ya kila namna. Ni mwendo wa kuishi ki north korea tu.
KWA Lugha nyingine tunaita Mchambo au Kichambo cha kufungia 2020....huku kikisindikizwa na Makofi ya Prasie Team yani unakisikilizia hadi nafsi ya Saba....full burudani.
 
KWA Lugha nyingine tunaita Mchambo au Kichambo cha kufungia 2020....huku kikisindikizwa na Makofi ya Prasie Team yani unakisikilizia hadi nafsi ya Saba....full burudani.
na hao wanaopaswa kupiga makofi ole wao wasipige, watasimangwa hadharani na vibao juu, wateule sasa watakuwa kama watoto wanaoishi na mama wa kambo. Itakuwa kutwa masimango ya kuwa mmewekwa tu hapo halafu hamshangilii.
 
Back
Top Bottom