Baba wa Taifa alisema ili tuendelee tunahitaji mambo manne.
1. Ardhi
2. Watu
3. Siasa safi
4. Uongozi bora
ARDHI
Ardhi tunayo tena ya kutosha. Ukiangalia ardhi ambayo mpaka sasa inatumika na...
Ninashangaa mno kuwa mpaka sa ivi tuna watu wenye uwezo wa kudukua mawasiliano ya watu ila amna mwenye wazo zuri laku rahisisha watanzania wote kupiga kura.
Yani kwa jinsi bus la teleology...
Taasisi kama EAC tangu waanze kuwa na waangalizi wa Uchaguzi hawajawahi kukosoa uchaguzi wa ncho yoyote ndani ya jumuia, wao chaguzi hata zile za Burundi kwao huwa ziko sawa kabisa na hawaonaga...
Wanabodi, ni matumaini yangu kwamba nyote mko na siha njema.
Kama mada inavyojieleza hapo juu.
Katika majimbo yaliyo mengi hapa nchini, wasimamizi wa uchaguzi wameshalipwa posho zao zote za...
Za pilika !
Nimekuwa nikifuatilia michakato ya Uchaguzi ya vyama vingi toka 1995. Mimi ni mdau wa "utulivu" yaani tuwe na jamii tulivu. Kwanini naongelea UTULIVU? . Utulivu ndo hasa kitu pekee...
Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga...
Halima Mdee kwa nafasi yake kama mwenyekiti wa BAWACHA ndio Mbunge wa Viti Maalumu namba moja kama CHADEMA itapata sifa ya kuwa na wabunge hao.
Ngoja niangalie jumla ya kura na uwiano wake nione...
Wakuu salute!
Jioni ya leo nikiwa maeneo ya Tegeta namanga Dsm, nilipitia pub moja at least kupoza koo kwa 'kabia kamoja' kupoza machungu ya utafutaji. Si unajua ukiumbwa mwanaume...
Kumekuwepo...
Blessed is thyloard our CREATOR
Tanzania has so long be in a glorified fight against barbarism and planned colonialism. We have eversince survived the actions of non mercy bandits of humanity our...
Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake.
Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya...
Wala haitaji kutumia akili kubwa sana kumjua mchoraji mahili na mchoraji asie mahili.
Kama utakuwa ni mtu mwenye fikra pana na uonaji sahihi hakika utaona mchoro wake UMEPINDA!
Anataka aonekane...
Dear sir/Madam
I would like to take this opportunity to write to you, I hope this letter will find you wherever you are.
I am a Tanzanian, a humanitarian, and above all a global citizen who...
WOTE HAWAAMINI...
Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
Waliopiga kura hawaamini,
Waliogoma kupiga kura hawaamini,
"Walioshinda" hawaamini,
"Walioshindwa" hawaamini,
Walioshuhudia...
Wana JF, Kuna watu wanafikiri Rais ni mtu mfano John Pombe Magufuli. Wamesahau Rais ni taasisi kubwa inayofanya mambo kwa kanuni, Sheria na taratibu.
Janga la corona ni Janga na tatizo kama...
Wako Watanzania wasiojua uhalisia
Tanzania kama nchi inaelekea kuwa na watu milioni 50. Kati ya hao, walipa kodi hawafiki hata milioni tatu, yaani kundi la watu milioni tatu ndilo linaendesha...
Kuna Mambo yanatia aibu na kufanya, watu tuamini kuwa Ufipa pale wengi ni akili kuambiwa.
Chama cha CHADEMA toka kimeanzishwa na ukubwa wake wote Ila jengo lao la makao makuu linashindwa thamani...
Wewe Mtanzania kesho ndio siku maalumu uliyongojea miaka 5.
Hakuna siku nyingine uliyopewa zaidi ya kesho ya kuchagua kuumizwa tena 5 au kutoumizwa tena.
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku...
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.
Makala murua kabisa ya kaka mkubwa Jenerali Ulimwengu gazeti la The East African:
Soma hapa chini kama unaelewa kiingereza - ila kama ni akina Msukuma wanaosema Reli ya "Stieglers Gorge"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.