Uchaguzi 2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete.

Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi anasema kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani wanasema Korona itaendelea kwa zaidi ya miaka 2 hivyo anasema kama hawa jamaa wakichukuwa nchi chakwanza ni kutufungia ndani watu kwani vingozi wetu walitoa povu sana kuhusu hilo na mpaka leo hawajakanusha au kulitolea ufafanuzi.

Minaona viongozi wetu tukiwa tumebakiza siku hizi chache walizungumzie hili wapiga kura wetu ambao ni wengi sana kwa sasa watupigie kura nyingi na Korona isiwe ishu tena. Kwa sababu kilamtu anajua kipindi cha Korona hari ilikuwa tete sana.
 
Corona aliiondoa Mwenyezi Mungu ili tuwe huru na tujipange vizuri kupambana na Muovu kuliko wote Meko na Chanzo Cha Matatizo (CCM).

Kwa hiyo usiwe na wasiwasi mkuu, Mungu yu pamoja nasisi na ana njia zake nyingi sana za kufanikisha maajabu na utukufu wake,Cha msingi mimi na wewe tuweke juhudi za kushawishi wapiga kura wamchague mkombozi wetu Tundu Antipus Lissu hapo tar 28 Oct.

AMIN.
 
Magufuli nae kama hajui siasa anakumbushia mambo ya zamani hayo yashapita ilikuwa siasa tu mbona hao wote waliyokuwa wanapiga kelele za corona sasa hivi hawavai barakoa tena wala kufuata taratibu zozote za kujikinga na corona hii ni kuonesha kuwa ilikuwa ni siasa tu hawakuwa wakimaanisha wanachokisema.

Mbona leo Lissu anashirikiana na ACT wakati alisema ACT kuwa si chama cha upinzani,ni kwamba alisema kisiasa tu hakuwa akimaanisha hivyo na ndio maana sasa anashirikiana nao.

Kwahiyo Magufuli apotezee tu hiyo ishu.
 
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete. Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana.
Ule ujinga aliofanya kwenye kuzuia matangazo ya corona ndio anatamba nao, inashangaza!
 
Hata wao ccm pia wana ndonga zao tano zinatoka kesho
Keshokutwa kutakuwa na hotuba za vitisho za wakuu wa majeshi, Mabeyo na Siro watatoa vitisho kwa raia wanaounga mkono upinzani alafu siku inayofuata tcra wataingia kazini, mtandao utazinguwa, jamii forums wajiandae kushambuliwa kwa mara nyingine.
 
Keshokutwa kutakuwa na hotuba za vitisho za wakuu wa majeshi, Mabeyo na Siro watatoa vitisho kwa raia wanaounga mkono upinzani alafu siku inayofuata tcra wataingia kazini, mtandao utazinguwa, jamii forums wajiandae kushambuliwa kwa mara nyingine.
Tumejipanga mkoloni mweusi lazima aondoke
 
Magufuli anatapa tapa

Aliahidi ajira za Waalimu 13000...mpaka Leo nothing.

Anaahidi nyongeza ya mshahara, kwa miaka 5 hakutekeleza.

Alifuta FAO la kujitoa... wafanyakazi Wana Jambo lao 28 October.

Bureau De Change, Kimya.

Arudishe fao la kujitoa

Aseme Pesa za Bureau de change ziko wapi?
Kama watu walivunja Sheria .. Mahakama zipo. Na sio kupora fedha za Watu
 
Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete. Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi anasema kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani wanasema Korona itaendelea kwa zaidi ya miaka 2 hivyo anasema kama hawa jamaa wakichukuwa nchi chakwanza ni kutufungia ndani watu kwani vingozi wetu walitoa povu sana kuhusu hilo na mpaka leo hawajakanusha au kulitolea ufafanuzi.

Minaona viongozi wetu tukiwa tumebakiza siku hizi chache walizungumzie hili wapigakura wetu ambao ni wengi sana kwa sasa watupigie kura nyingi na Korona isiwe ishu tena. Kwa sababu kilamtu anajua kipindi cha Korona hari ilikuwa tete sana.
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    29.1 KB · Views: 1
Magufuli nae kama hajui siasa anakumbushia mambo ya zamani hayo yashapita ilikuwa siasa tu mbona hao wote waliyokuwa wanapiga kelele za corona sasa hivi hawavai barakoa tena wala kufuata taratibu zozote za kujikinga na corona hii ni kuonesha kuwa ilikuwa ni siasa tu hawakuwa wakimaanisha wanachokisema.

Mbona leo Lissu anashirikiana na ACT wakati alisema ACT kuwa si chama cha upinzani,ni kwamba alisema kisiasa tu hakuwa akimaanisha hivyo na ndio maana sasa anashirikiana nao.

Kwahiyo Magufuli apotezee tu hiyo ishu.
Basi ndiyo mjue yote yanayosemwa na Chadema ni siasa tu. Hakuna wanachomainisha seriously. Ni kucheza tu na akili za wana ufipa wachache wanaowaamini. Tulio wajanja tulishawagundua mapema na tunakwenda kumpa kura za kimbunga Dkt Magufuli. Ungana nasi.
 
Basi ndiyo mjue yote yanayosemwa na Chadema ni siasa tu. Hakuna wanachomainisha seriously. Ni kucheza tu na akili za wana ufipa wachache wanaowaamini. Tulio wajanja tulishawagundua mapema na tunakwenda kumpa kura za kimbunga Dkt Magufuli. Ungana nasi
Hata Magu anavyosema maendeleo hayana chama huwa ni siasa tu na ndio maana sasa hivi anataka achaguliwe wabunge na madiwani wa ccm ndio ili apeleke maendeleo sehemu husika.
 
Back
Top Bottom