Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Stay tuned!
Yani kuacha Magufuli na Lissu, unakuja kugundua kuwa mshindi aliyeshika nafasi ya tatu kati ya hao 15 ni kura zilizo haribika. Yani zaidi ya kura laki mbili ziliharibika. Ni kura nyingi kuliko za...
Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo.
Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la...
Moja kwa moja kwenye Mada nitasalimia baadae.
Binafsi nilikuwa moja ya wasisimamizi wa uchaguzi katika nafasi kubwa ya "OBSERVER MKUU" kwenye uchaguzi huu hivyo nilikuwa nakagua karibu kila kituo...
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa...
KATIBU MWENEZI wa CCM, Ndg. Humphrey Polepole, amewashukuru Watanzani kwa kukipa chama hiko kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kupelekea kushinda kwa kishindo.
Aidha ametoa ratiba...
Nimefurahi sana aliyekuwa mbunge wa Iringa, Msigwa Peter kuangushwa chini, Alikuwa na dharau sana ukimfata Kumueleza Shida akusaidie kama Mwananchi. Aliutumia ubunge kama Kitega uchumi cha...
Wasalaam wajumbe!
Mimi ninashangaa sana wanaodai kuwa ooh sijui maandamano yatavuruga amani ya nchi, kwani maandamano si yapo kikatiba na yameruhusiwa kabisa pale mtu anapohisi kua haki yake...
Na:
McWenceslaus
31/10/2020
Wapinzani sikieni,
Ujumbe mshikeni,
Iloletwa na wageni,
Ndicho chenu kishikeni.
Wambieni Mabeberu,
Na Robert Amstardamu,
Nchi yetu ipo huru,
na CCM ndio Nuru...
Wamechukua tena,tena 100% ni wao upande wapili hawataingia bungeni hao wachache waliopewa,
Kumbukumbu hazionyeshi kama kuna mbunge wa Kati ya hao watakao ingia kama alishawahi kuibana serikali...
Si kawaida vyombo vya habari kuishi habari katika kipindi cha uchaguzi ila kwa Tanzania Vyombo vyote vya Habari havina matangazo balanced, habari wanazotoa ni za upande mmoja hasa kuhusu maoni...
Hakika aliyewahi kuwa mbunge wa Kibamba Mheshimiwa John Mnyika aliyaona yatakayotokea katika uchaguzi mkuu 2020.
Aliamua kustaafu ubunge kwa kutokugombea na kupisha nafasi kwa wanachadema wengine...
Habari za Leo wana jamvi,
Mimi bado niko na wasimamizi wa vituo vya kupigia kura mwaka huu.
Mwanzo siku mbili kabla ya uchaguzi nilisikia tetesi kwamba wasimamizi walikuwa wakiitwa mara kwa mara...
Kipindi cha uchaguzi kulijitokeza kamati zilizohusisha viongozi wa dini mbalimbali kuombea uchaguzi ufanyike kwa amani, kuna kamati nyingine ilikuwa inajiita Kamati ya Maadili ya Taifa kazi yake...
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mgombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya (CHADEMA) Salome Makamba kwa tuhuma za kufanya fujo, kuchana karatasi za matokeo ya kura na kumjeruhi...
Wadau, amani iwe kwenu.
CHADEMA na ACT-Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi...
Japo nimearifiwa kwamba matokeo ya uchaguzi wa Rais hayapingwi mahakamani, ila napendekeza wanasheria wa upinzani wafungue hiyo kesi ya kupinga hayo matokeo, tena kwa ngazi zote kuanzia udiwani...
Clip hii hapa chini anaongea Dr Wilbroad Slaa kuviaasa vyama vya Upinzani kuhusu namna ya kubadilika kisera la sivyo Dr John Pombe Magufuli atawapoteza maana yeye #JPM amegusa hizo haki zote za...
Kila kitu sasa ni dhahiri kuwa kilichoitwa uchaguzi mkuu wa tarehe 28/20/2020 haikuwa uchaguzi bali dhihaka kwa Watanzania.
Watanzania wamefanywa wajinga, wamepoteza muda wao kuhakiki ustahili...
Nimeona mtandaoni habari hii, hakika imenifikirisha sana huu ya hatima ya wake wa viongozi wetu wanasiasa wanao jisahau kuwa wana wajibu mkubwa wa kuwaonya na kuwabadili tabia waume zao kwani ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.