Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze dunia kiongozi gani wa chama...
0 Reactions
6 Replies
44K Views
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi . Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Tundu Lissu akihojiwa na redio Ujerumani DW anasema amepata simu za kutishiwa amani na ameamua kujificha kwenye makazi ya Balozi wa Ujerumani Anasema maisha yake yako hatarini na anajipanga...
45 Reactions
328 Replies
27K Views
Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo...
22 Reactions
187 Replies
11K Views
Kwanza kabisa sikubali mchakato wa Uchaguzi wala matokeo! Ule haukuwa Uchaguzi bali uteuzi Pamoja na hayo, nashauri chama changu pendwa CHADEMA tumuache mbunge wetu wa Nkasi, Idah, anendeleena...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo...
35 Reactions
78 Replies
8K Views
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni...
58 Reactions
490 Replies
45K Views
Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA, Aidan Khenan leo alikuwa wa kwanza kuomba kuuliza swali baada ya Dkt. Tulia Ackson kuomba kura kuwania nafasi ya wabunge kuchagua kuwa naibu spika. Nalo...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari wana JF. Natumai tuwazima wa Afya na Allah awaponye wangonjwa wote. Ama kweli leo ndo nimeamini msemo wa "Akili za kuambiwa changanya na zako" Hivi karibuni viongozi wa CHADEMA wakiongozwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikali ya Magufuli ifanye haya kuokoa Trilioni 2 kama Wabunge Viti Maalumu 19 wa CHADEMA wasipoenda Bungeni Don Nalimison natoa hoja hii: Ili kuziba pengo la Trilioni 2 zinazotolewa Kama...
18 Reactions
77 Replies
6K Views
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine. Watu hao ni 1. Dkt. John Pombe Magufuli. 2. Prof. Palamagamba Kabudi 3. Prof...
58 Reactions
143 Replies
14K Views
TUIOKOE CHADEMA KWA WABUNGE VITI MAALUM. VIBURI VYA VIONGOZI WAO VISIPOTEZE WATETEZI WA WANANCHI TUANZE NA HISTORIA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019. Don Nalimison naanza kwa hoja: CHADEMA...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
CHADEMA wakubali tu kupoteza hizi seat,waishi maisha magumu lakini watapata faida sana huko mbeleni. Lakini wakikubali kuingia mtegoni ,wakapeleka wabunge bungeni,ndio habari yao imekwisha. Kwa...
26 Reactions
93 Replies
9K Views
Kisa chenyewe! "Malaika mmoja alimtokea Mtu mmoja nyumbani kwake, akamwambia maombi yake kuhusu hali ngumu yamesikilizwa na hivyo anaweza kumwambia cochote akamsaidia. Ila kabla hajachagua kuna...
2 Reactions
2 Replies
926 Views
Wacha wabunge wa wapinzani washiriki vikao vya bunge lijalo, na ikiwezekana wapeleke majina ya watu wa ubunge wa viti maalumu. Maana kuhudhuria au kutokuhudhuria hakusaidii kuimarisha demokrasia...
2 Reactions
81 Replies
6K Views
President John Magufuli was inaugurated on Thursday, November 5th as president of the United Republic of Tanzania for a second and final term just days after a chaotic election known in the...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika uchaguzi mkuu huu wanawake hawakubaki nyuma kuwania nafasi za uongozi kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani. Wapo walioibuka kidedea ba wapo walioangukia pua, na hiyo ndio democrasia. Yafuatayo...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Nimeona Upendo Peneza viti maalum CHADEMA kwenye ziara ya Waziri Mkuu wilayani Ruangwa wakigawa pikipiki kwa vijana wa CCM. Naomba ufafanuzi hiyo ziara inahusiana na nini...
5 Reactions
120 Replies
22K Views
Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini. Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na...
19 Reactions
90 Replies
8K Views
Back
Top Bottom