Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.
Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka...
Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni.
Sauti zao...
Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)
Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo...
Kwa sasa mtu mwenye ushawishi mkubwa na mwenye uwezo was kuleta mageuzi ni mheshimiwa rais John pombe Magufuli kwani hakuna kikundi Wala taasisi wala mtu mwenye nguvu zaidi yake katika Siasa na...
Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli.
Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya...
Kada mkongwe wa CHADEMA na msaidizi wa Lema jijini Arusha anayejulikana kwa jina la Kadogoo anasema haamini kama Lema kakimbilia Kenya.
"Mimi ndiye niliyempa Lema jina la Mandela baada ya kukaa...
Kitendawili cha kumpata Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, kitatenguliwa kesho.
Ama atateuliwa Kassim Majaliwa aliyemaliza muda wake kwa kipindi cha kwanza...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Dkt. Hussein Mwinyi amezindua Baraza la Kumi la Wawakilishi
Katika uzinduzi huo amewaomba wajumbe kutoa ushirikiano kwa serikali na...
TAREHE: 11 NOVEMBA, 2020
Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid;
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar,
Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla;
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Mheshimiwa Omar Othman...
Chama tawala nchin Zimbabwe cha ZANU PF kimeitaka nchi ya Marekani kuacha kuingilia mambo ya Tanzania kwani nchi hiyo ni huru.
Source: CRI kiswahili
========
ZIMBABWE ruling party ZANU-PF has...
Kwanza niwe muwazi kabisa mimi ni muumini wa kufuata na kutii sheria bila shuruti,
Na katika vyama vya upinzani wabunge wa chadema huwa nawakubali baadhi yao katika kuikumbusha, kuishauri na...
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu...
Ndugu zangu,
Tuseme tu ukweli hakuna mfuasi yeyote wa CHADEMA mwenye akili hata asilimia moja ya alionayo Mbowe.
Mbowe hutoa hela zake mfukoni ili kukiendesha chama, yaani ni mwenye upendo wa...
Kama miujiza ingekuwa jambo la kujiamuria,ningeamuru mara moja mimi Upendo Furaha Peneza niwe mwanachama wa TANU YOUTH LEAGUE. Niwe miongoni mwa kina Nyerere,Sykes,Kawawa nk nishiriki agenda nzito...
Tanzania ni taifa ambalo limezidi kuwashangaza wengi ambao hawalijui kwa undani.
Hakuna suala ambalo limeshangaza wengi duniani kama mbinu iliyotumika nchini ili kupambana na janga la korona...
Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA.
Napendekeza uchaguzi wa...
Ni ukweli usiopingika CCM wanawanunua wanachama wa CHADEMA na ushahidi upo japo wanachoahidiwa hawakipati kama wanavyoshawishiwa.
Kujiuzulu kwao udiwani na ubunge ni kuendelea kuwafanya raia...
Baada ya Uchaguzi Mkuu kupita, nayaona yaliyojitokeza venezuela yakitokea kwa Mwanasiasa Tundu Lissu.
Namfanisha Tundu Lissu na mwanasiasa wa Venezuela, Juan Guaido ambaye alitumiwa sana na...
Mapema Baada ya kuapa ndani ya Bunge la 12 Mjini Dodoma, Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akihojiwa na chombo cha Habari cha Dar Mpya amenukuliwa akisema.
Jimbo la Hai lilikosa uwakilishi sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.