Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,191
- 4,104
Katika uchaguzi mkuu huu wanawake hawakubaki nyuma kuwania nafasi za uongozi kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani. Wapo walioibuka kidedea ba wapo walioangukia pua, na hiyo ndio democrasia.
Yafuatayo ni majina na matokeo yao kama yao kama nitakavyoya
>Ngazi ya ubunge
Walioshinda
1. Tulia Ackson (CCM) Jimbo la Mbeya Mjini
2. Ana Richard Lupembe (CCM) Jimbo la Nsimbo,
.4. Shamsia Mtamba (CUF) Jimbo la Mtwara mjini
5.Jesca Msambatavangu (CCM) Jimbo la Iringa Mjini
6.Maimuna Mtanda (CCM) Jimbo la Newala Vijijini
7. Pro. Joyce Ndalichako{CCM} Jimbo la Kasulu Mjini
8. Angelina Mabula (CCM) JImbo la Ilemela
9. Ummy Mwalimu (CCM) Jimbo la Tanga Mjini
Walioshindwa
1.Neema Stephen- Demokrasia Makini - Jimbo la Moshi Mjini
2. Fatuma Linus - Jimbo la Moshi mjini
3. Rehema Nkoha- CHADEMA- jimbo la Singida mjini
4. Hawa ghasia (CCM) Jimbo la Mtwara mjini
5. Salome Makamba (CHADEMA)JImbo la Shinyanga Mjini
6.Rhoda Kunchela (CHADEMA) Jimbo la Mpanda Mjini
7.Cessilia Ndossi(CHADEMA) Jimbo la Monduli
8. Cecilia Ndosi (CHADEMA) Jimbo la Monduli
9.Upendo Furaha Peneza (CHADEMA) Jimbo la Geita Mijini
10.Ester Bulaya (CHADEMA) Jimbo la Bunda Mjini
11.Aisha Luja (CHADEMA) Jimbo la Manyoni Mashariki
12.Grace Jekela (NCCR Mageuzi)Jimbo la Makete
13. Mwanaisha Mndeme (ACT) Jimbo la Kigamboni
14. Magreth Kyai (CHADEMA) Jimbo la Nkenge
15. Hadija Mwago (CHADEMA) JImbo la Mbagala