..kwanza nimpe shukurani mwanachama mwenzetu Shwari kwa kutuletea makala hii.
..nimeona niilete makala hii ktk jukwaa la siasa ili iweze kusomwa na wanachama wengi zaidi.
In an interview with...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa Idara ya misitu kwa tuhuma za mauaji ya Katibu wa...
Esteemed Great Thinkers
There is fast shift of the political diplomacy to economic and security diplomacy in teh current era that Tanzania should not grant a room to be aggressively superseded...
Leo Watanzania tumeamka na uteuzi wa Mawaziri Dr. Phillip Mpango katika Wizara ya Fedha na Prof. Palamagamba Kabudi katika Wizara ya Mambo ya Nje. Maswali mengi yameibuka kuhusu huu uteuzi...
Aliyekuwa mbunge wa Kilwa kusini ndugu Selemani Bungala (Bwege) , amesema kuwa licha ya yeye kukosa Ubunge lakini Uchaguzi uliokuwa na matatizo zaidi ni wa Urais.
Amesema ameshuhudia yeye...
Joshua Mulundi (21) raia wa Kenya aliyekuwa anatuhumiwa kumteka na kumtesa Dk Ulimboka na baadaye kuachiwa huru na mahakama na baadaye kufunguliwa kesi ya kulidanganya jeshi la polisi, ahukumiwa...
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi...
Kwa kile kinachotokea sasa ninakubaliana asilimia 100% na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania kuwa kinachowatesa mataifa ya Marekani, Canada, Ujerumani na mengine ya Ulaya ni utajiri wa...
Mataifa yaliyo endelea na ambayo yamekuwa yakitufadhili kwenye sekta mbali mbali ya kumaendeleo yanazidi kutoa maoni yao juu ya matokeo ya uchaguzi wa Tanzania.
Hii hapa ni picha iliyotolewa na...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa chama hicho hakijapeleka orodha yoyote ya majina NEC kwa ajili ya uteuzi wa viti maalumu. Lakini NEC inahitaji majina...
TUONGEE KAMA WATANZANIA:- TUNDU LISU HISTORIA HII ITAKUJA KUMHUKUMU.
Kuna tetesi kuwa Lissu atapata fursa ya kulihutubia bunge la Umoja wa Ulaya (EU). Lakini kuna tetesi pia kuwa Lisu ataendelea...
Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la...
2016- Tamisemi ilihamia Ofisi ya Rais
2017- Manunuzi yote yalihamia ofisi ya Rais
2017- Mikataba yote ya ujenzi wa miradi mikubwa Right pointing backhand indexofisi ya Rais
2018- ATCL ikahamia...
IS PRIME MINISTER MAJALIWA A MEMBER OF PARLIAMENT ELECTED FROM CONSTITUENCY?
The Prime Minister Designate (Waziri Mkuu Mteule) of United Republic of Tanzania, Right Honourable, Majaliwa Kassim...
Mabibi na mabwana kumekuwa na kauli zenye mantiki tokea kwa Dk. Mwinyi rais wa sasa Zanzibar. Kauli kama hizi:
1. "CCM tuepuke kushangilia kiasi cha kuwaudhi wenzetu."
2. "Niko tayari kwa...
CCM nayo imepoteza katika uchaguzi huu, mshindi JPM tu
Abu Kauthar
Uchaguzi wa 2020 Tanzania umepita. Inasemekana Watanzania wameamua kukirejesha chama tawala, CCM kwa kishindo. Kishindo...
Katika Ufunguzi wa bunge uliofanywa Novemba 13, jijini Dodoma, Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kikatiba bunge huwa na jumla ya wabunge 393.
Waliokuwa bungeni katika ufunguzi walikuwa 359...
Nimeonelea badala ya mawazo ya kulaumu, kulalamika, kulaani…...nitoe mawazo ya kujenga angalau kujaribu kuepusha matatizo makubwa yanayoisogelea Tanzania.
Ni matumaini yangu wakuu watayaona na...
Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.