Uchaguzi 2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,162
2,000
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa vya milipuko ili kuwakomesha .

Mungu ibariki CHADEMA.
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,457
2,000
Halafu kuna mtu akapanga sinema ya kwenda kutubu dhambi zake na kupewa sakramenti kanisani jumapili, bila aibu na picha zikapigwa za kutosha. Acha aendelee kumdhihaki mungu tu.

Hao waliokamatwa itapangwa sinema moja hivi ameizing watolewe kwa msamaha wa rais, ili aonekane ni mtu wa kusamehe.

Kitu/Cheo unachopata kwa njia ya haramu, ni haramu tu mbele ya mungu (hakuna njia ya kukitakatisha, hata kwa kutubia au kukitolea sadaka ni haramu - Ni kujipotosha kusema ""Acha niibe, acha nidhulumu, acha nitoe watu roho, acha nionee watu. Si nitatubia na kuomba msamaha kwa mungu tu"")
 
nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,875
2,000
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa vya milipuko ili kuwakomesha .

Mungu ibariki Chadema .
Kuna watu hawaoni hili kama ni tatizo.Wanadai CDM wanajitekenya! Tuendelee kushangilia ushindi wa kishindo na tushangilie pia mavuno yakianza (bei ya saruji imeanzisha safari kama sukari ilivyokuwa).
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,162
2,000
Halafu kuna mtu akapanga sinema ya kwenda kutubu dhambi zake na kupewa sakramenti kanisani jumapili, bila aibu na picha zikapigwa za kutosha. Acha aendelee kumdhihaki mungu tu.

Hao itapangwa sinema moja hivi ameizing watolewe kwa msamaha wa rais, ili aonekane ni mtu wa kusamehe.
Nilishaacha kushiriki misa za makanisa tangu makanisa yalipogeuka kuwa maficho ya wanasiasa wahalifu
 
Tindikali Kali

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
529
500
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa vya milipuko ili kuwakomesha .

Mungu ibariki Chadema .
Halafu "mwenyewe" kaondoka na kuwaachia mbunge mmoja!
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
5,473
2,000
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa vya milipuko ili kuwakomesha .

Mungu ibariki Chadema .
Kawasaidie huko mahakamani
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
398
1,000
Huyu bwana ni shetani na mnafiki mkubwa. Halafu anataka aufiche ushetani wake kwenye kichaka cha dini.

Sisi sote ni wadhambi lakini siyo kwa ushetani huu wa huyu bwana. Unaua, unateka, unatesa, unapora kura, unafunga wasio na hatia, halafu unatakatisha ushetani wako kwa madhabahu ya Bwana.

Bwana Mungu wetu, nyumba yako siyo genge la watu kwenda kufichia uovu wao. Tunaomba uwaumbue, uwafedheheshe na uwaadhibu wale wote waitumiayo ama nyumba yako au neno lako kwa hadaa na huku mikono yao ikiwa imejaa damu za wanaouawa kwa amri zao.

Wewe Bwana hukawii, bali hujibu maombi yetu kwa wakati ufaao.
 
Mr Tyang

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
1,234
2,000
Ndio acha wakae huko huko ili wajifunze maana wakati tunawashauri hapa kuwa wasifuate kauli za wanasiasa Malaya Malaya Hawa wa upinzani hawakusikia.
Leo hii aliewajaza na kuwafanya wajihisi wapo juu serikali kawatelekeza yupo zake Ulaya ana kula, kunya na Kulala.

"Mwanasiasa wa kumwamini ni yule Alie kufa tu" Mimi.
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
7,027
2,000
Halafu kuna mtu akapanga sinema ya kwenda kutubu dhambi zake na kupewa sakramenti kanisani jumapili, bila aibu na picha zikapigwa za kutosha. Acha aendelee kumdhihaki mungu tu.

Hao itapangwa sinema moja hivi ameizing watolewe kwa msamaha wa rais, ili aonekane ni mtu wa kusamehe.

Kitu/Cheo unachopata kwa njia ya haramu, ni haramu tu mbele ya mungu (hakuna njia ya kukitakatisha, hata kwa kutubia ni haramu).
Hivi huko kanisani huwa anaenda na yake ma AC yake?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,162
2,000
Ndio acha wakae huko huko ili wajifunze maana wakati tunawashauri hapa kuwa wasifuate kauli za wanasiasa Malaya Malaya Hawa wa upinzani hawakusikia.
Leo hii aliewajaza na kuwafanya wajihisi wapo juu serikali kawatelekeza yupo zake Ulaya ana kula, kunya na Kulala.

"Mwanasiasa wa kumwamini ni yule Alie kufa tu" Mimi.
Umeandika kijinga sana !
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom