Uchaguzi 2020 Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya Nchi Zinazokosa Furaha, CUF tumekuja na sera ya ''Tanzania yenye furaha inawezekana''

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20200807-153311.png

"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba.
-
"Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho kwa upande wangu si sawa" - Prof. Ibrahim Lipumba, mgombea Urais wa Chama cha Wananchi CUF
 
Uongo.
Tanzania ndio nchi pekee duniani ambayo haina hofu ya corona ambayo imeondoa furaha duniani.

Cuf si mtangaze kufunga chama tu mbona mnakuwa wapishi hivyo.
 
Ivi kweli mmekosa kazi ya kufanya na huyo propesa wenu??? Propesa mwenyewe hapo pichani anaonekana mwenye majonzi sana, furaha ipi hiyo, furaha bila amani ya moyo ni kazi bure na Amani ya kweli yatoka kwake aliyejuu, je propesa ametoka wapi, cuf ipi kwanza???
 
"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba.
-
"Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho kwa upande wangu si sawa" - Prof. Ibrahim Lipumba, mgombea Urais wa Chama cha Wananchi CUF
Zee tapeli kweli hili

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hilo linawezekana kabisa,ukitaka kuthibitisha hili simama pembeni ya bararbara yenye foreni mchana su jioni halafu chungulia madirishani nyuso za wa tz ndani ya ma eacher aisee watu wamechoka mnoooy
 
"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba.
-
"Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho kwa upande wangu si sawa" - Prof. Ibrahim Lipumba, mgombea Urais wa Chama cha Wananchi CUF
Cuf yenyewe ameipa karaha
Atawezaje Tanzania?
 
Uongo.
Tanzania ndio nchi pekee duniani ambayo haina hofu ya corona ambayo imeondoa furaha duniani.

Cuf si mtangaze kufunga chama tu mbona mnakuwa wapishi hivyo.
Nchi nyingi tu hazina hofu,tumesaidiwa na mazingira tu ya Hali ya hewa
 
Back
Top Bottom