Na Bashir Yakub, WAKILI
Kanuni ya 135(11) ya Kanuni za Kudumu za Bunge za June 2020, inasema kuwa " Wenyeviti wa Kamati ya Hesabu za serikali(PAC), na Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC)...
Hotuba ya Rais Museveni kwenye Kuapishwa kwa Rais Magufuli, imenitafarisha mambo 4; karibu tujadili tukiwa na open mind.
Naomba ku-declare interest ninamuunga mkono JPM kwa nafasi ya Urasi...
Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa...
Zimebakia siku 65 tu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kufanyika hapo tarehe 28 Oktoba 2020. Wananchi wa Zanzibar watapata fursa nyengine ya kumchagua Rais wa Zanzibar wanayemtaka, Wajumbe wa...
CHADEMA kikiwa chini ya katibu mkuu Dkt. Slaa mtu muadilifu wa kweli mkakati wake kama chama cha upinzani ulikua kupinga rushwa na kutaka uwepo wa utawala bora. Wakati Dr Slaa akiwa Katibu Mkuu...
Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe...
"Vikwazo vya matakwa ya kimahakama kikwazo haki"
Imeelezwa kuwa vikwazo vya matakwa ya kimahakama vinavyotolewa kwa wananchi (warithi wa mali za marehemu) pindi wanapokwenda kufuata taratibu...
TAARIFA KWA UMMA
Leo tarehe 12.11.2020 siku ya Alhamisi Majira ya saa 6 za Mchana katika ofisini za Makao makuu ya NCCR- Mageuzi M/Kiti wa chama Ndugu James Francis Mbatia atazungumza na...
Kauli ya Spika Ndugai kwamba wabunge watarajiwa wa upinzani wasihadaike na kutoa rushwa " isiyoeleweka" ili wapate uteuzi wa viti maalumu ni nzito kwa kweli.
Kwani hapo CHADEMA mnatumia utaratibu...
Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical
Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu
Naweza kusema ni mpinzani wa...
Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa...
Katiba ya Tanzania ibara ya 66 (1), inaelekeza kuwa lazima kuwepo wabunge wanawake asilimia 30 ya wabunge wote wa makundi mengine. Makundi mengine ni wabunge wa kuchaguliwa (ambao mwaka huu jumla...
Katika historia, suala la kukimbia vitisho vya kuuawa au kudhuriwa ni jambo lipo Kihistoria.
Katika nyanja za Kiimani, wako wengi walikimbia, lakini tuone hawa wawili ambao ni maarufu katika...
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha...
Kituo nilichopigia kura hakuna wakala hata mmoja wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo
Kweli CHADEMA mmeshindwa kupata wakala wa kulinda kura za Lissu? Nimesikitika sana tena sana.
CHADEMA hawana Mbunge...
Kama kawaida yetu , leo tena tuko hewani kuwaletea kila kinachoendelea kwenye kampeni za Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura ya maoni , ambapo leo atakuwa anaendelea kuomba ridhaa ya wananchi...
Saashisha Elinikyo Mafuwe ameshinda kiti cha ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kumshinda mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe.
Je, Saashisha Mafuwe ni nani? Naomba mwenye profile yako...
Kuna jambo ambalo ninaliwaza.
Najua kwamba Mheshimiwa Rais anazo nafasi kumi za uteuzi wa wabunge kikatiba.Najua pia kwamba anao uhuru wa kuteu mtu yeyote kwa nafasi hizo bila kuulizwa.Katika...
Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli.
Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila...
Leo 11:35hrs 07/11/2020
Matokeo ya uchaguzi wa Marekani yametusaidia kuondoa ujinga wa Chadema, Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani is a "score" to us Tanzanians and Our President John Pombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.