Watanzania tuna cha kujifunza kupitia kwa Lissu

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
1,240
2,000
Habari wana JF. Natumai tuwazima wa Afya na Allah awaponye wangonjwa wote.
Ama kweli leo ndo nimeamini msemo wa "Akili za kuambiwa changanya na zako"
Hivi karibuni viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Lissu waliwataka wananchi waanadame ila kwa moyo wa upendo na amani ya nchi yetu nzuri wananchi waligoma kuitikia wito wa maandamano hayo batili ya kutaka kuichafua nchi yetu.

Tujiulize leo hii ndo tungekuwa wap baada ya maandamano na kipigo kutoka kwa vyombo vya usalama, wengi wangekua Muhimbili, Lugalo, KCMC nk. Tukiwa tunaambuliwa maumivu na majeraha mbalimbali ya kipigo cha mbwa koko.

Ila huyo Lissu yeye tayari kashakimbia nchi yupo Ubelgiji Kwenda kula raha za Maisha.
Anawadanganya wananchi eti mapambano yanaendelea wakati yy anakula Bata kama kweli asingekimbia nchi basi.

Niwapongeze wananchi wote waliokaidi agizo la maandamano feki ya akina Lissu mbowe zitto na genge lao la kihuni kutaka kuwapotosha wananchi.

View attachment 1624396
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,695
2,000
Unawaza ujinga.Akili zako zinawaza kuumizana tu.huna jambo jingine la maana unaloliwaza ukisikia neno maandamano ya amani zaidi ya raia wasio na hatia kupigwa.Polisi ndio waliofurika nchi nzima kuzuia maandamano tena ya amani.Kwahiyo kwa hali hiyo ulitegemea nini.Sio lazima afanye kile unachotaka wewe.mmeshaamua iwe hivyo mlivyoamua wacha kufwatafwata ratiba za watu wasikokuhusu.Wacha lissu aendelelee na maisha yake na mambo yake nawewe na mtu wako endeleeni na maisha yenu na mambo yenu.
 
Karibu Sana

JF-Expert Member
Mar 14, 2020
1,039
2,000
Karibu sana
FB_IMG_1605119501028.jpg
 
Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
5,820
2,000
Hivi nani kaachiwa chama pale ufipa? Maana nusu ya kamati kuu wamekimbilia mafichoni, wanachungulia kwa darubini.
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
1,397
2,000
Unawaza ujinga.Akili zako zinawaza kuumizana tu.huna jambo jingine la maana unaloliwaza ukisikia neno maandamano ya amani zaidi ya raia wasio na hatia kupigwa.Polisi ndio waliofurika nchi nzima kuzuia maandamano tena ya amani.Kwahiyo kwa hali hiyo ulitegemea nini.Sio lazima afanye kile unachotaka wewe.mmeshaamua iwe hivyo mlivyoamua wacha kufwatafwata ratiba za watu wasikokuhusu.Wacha lissu aendelelee na maisha yake na mambo yake nawewe na mtu wako endeleeni na maisha yenu na mambo yenu.
Yaan we bwege kweli akili zako zimejaa upumbavu wa ccm yaan hata mfanye nini sisi upinzani tuko imara na mlivyo wajinga mnajisifu kwamba mmechaguliwa kihalali kumbe mmeiba kura
Hawa ndiyo mapunguani. Ushabiki umewajaa. Wasamehe bure mzalendo Jr. gong mira ndugu yangu
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,976
2,000
Maandamano hayakufanikiwa,wewe ulitaka aendelee kubaki anafanya nini?Angeitisha maandamano huku yeye akiwa nje ya nchi hapo sawa,aliitisha akiwa nchini na hayakufanikiwa kwa sababu mbalimbali!Sasa ulitaka aendelee kukaa ili iweje?Si maisha yanaendelea?Acha na yeye aendelee na maisha!Au ulitaka abaki na aandamane peke yake?
Mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki?
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,538
2,000
Elimu elimu, elimu, watoto wetu tuwape elimu, na sio sio elimu hizi za shule za kata!!
 
Vladmir Putina

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
651
500
Unawaza ujinga.Akili zako zinawaza kuumizana tu.huna jambo jingine la maana unaloliwaza ukisikia neno maandamano ya amani zaidi ya raia wasio na hatia kupigwa.Polisi ndio waliofurika nchi nzima kuzuia maandamano tena ya amani.Kwahiyo kwa hali hiyo ulitegemea nini.Sio lazima afanye kile unachotaka wewe.mmeshaamua iwe hivyo mlivyoamua wacha kufwatafwata ratiba za watu wasikokuhusu.Wacha lissu aendelelee na maisha yake na mambo yake nawewe na mtu wako endeleeni na maisha yenu na mambo yenu.

🤣🤣🤣 wafuasi wa lissu mna hasira utafikiri mgojwa wa UKIMWI.

Si unge andama kwa amani kwani nani angekupiga wakati huna silaha

Shenzi kabisa wewe, unamtetea kibaraka Lissu utafikiri amekuzaa mbwa yule ambae alikuwa anawadanganya watanzania kwenye kampeni alafu uchaguzi umeisha tu akaamua atafte skendo kuwa anatishiwa maisha.

Nani ahangaike na Lissu ambae hana Madhara kwa sasa
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,287
2,000
Habari wana JF. Natumai tuwazima wa Afya na Allah awaponye wangonjwa wote.
Ama kweli leo ndo nimeamini msemo wa "Akili za kuambiwa changanya na zako"
Hivi karibuni viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Lissu waliwataka wananchi waanadame ila kwa moyo wa upendo na amani ya nchi yetu nzuri wananchi waligoma kuitikia wito wa maandamano hayo batili ya kutaka kuichafua nchi yetu.

Tujiulize leo hii ndo tungekuwa wap baada ya maandamano na kipigo kutoka kwa vyombo vya usalama, wengi wangekua Muhimbili, Lugalo, KCMC nk. Tukiwa tunaambuliwa maumivu na majeraha mbalimbali ya kipigo cha mbwa koko.

Ila huyo Lissu yeye tayari kashakimbia nchi yupo Ubelgiji Kwenda kula raha za Maisha.
Anawadanganya wananchi eti mapambano yanaendelea wakati yy anakula Bata kama kweli asingekimbia nchi basi.

Niwapongeze wananchi wote waliokaidi agizo la maandamano feki ya akina Lissu mbowe zitto na genge lao la kihuni kutaka kuwapotosha wananchi.

View attachment 1624396
Upumbavu
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,329
2,000
Unawaza ujinga.Akili zako zinawaza kuumizana tu.huna jambo jingine la maana unaloliwaza ukisikia neno maandamano ya amani zaidi ya raia wasio na hatia kupigwa.Polisi ndio waliofurika nchi nzima kuzuia maandamano tena ya amani.Kwahiyo kwa hali hiyo ulitegemea nini.Sio lazima afanye kile unachotaka wewe.mmeshaamua iwe hivyo mlivyoamua wacha kufwatafwata ratiba za watu wasikokuhusu.Wacha lissu aendelelee na maisha yake na mambo yake nawewe na mtu wako endeleeni na maisha yenu na mambo yenu.
Muulize bei ya simenti kule kwake huyu mpuuzi
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,329
2,000
Maandamano hayakufanikiwa,wewe ulitaka aendelee kubaki anafanya nini?Angeitisha maandamano huku yeye akiwa nje ya nchi hapo sawa,aliitisha akiwa nchini na hayakufanikiwa kwa sababu mbalimbali!Sasa ulitaka aendelee kukaa ili iweje?Si maisha yanaendelea?Acha na yeye aendelee na maisha!Au ulitaka abaki na aandamane peke yake?
Mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki?
Na kaondoka mchana kweupe
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,774
2,000
Habari wana JF. Natumai tuwazima wa Afya na Allah awaponye wangonjwa wote.
Ama kweli leo ndo nimeamini msemo wa "Akili za kuambiwa changanya na zako"
Hivi karibuni viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Lissu waliwataka wananchi waanadame ila kwa moyo wa upendo na amani ya nchi yetu nzuri wananchi waligoma kuitikia wito wa maandamano hayo batili ya kutaka kuichafua nchi yetu.

Tujiulize leo hii ndo tungekuwa wap baada ya maandamano na kipigo kutoka kwa vyombo vya usalama, wengi wangekua Muhimbili, Lugalo, KCMC nk. Tukiwa tunaambuliwa maumivu na majeraha mbalimbali ya kipigo cha mbwa koko.

Ila huyo Lissu yeye tayari kashakimbia nchi yupo Ubelgiji Kwenda kula raha za Maisha.
Anawadanganya wananchi eti mapambano yanaendelea wakati yy anakula Bata kama kweli asingekimbia nchi basi.

Niwapongeze wananchi wote waliokaidi agizo la maandamano feki ya akina Lissu mbowe zitto na genge lao la kihuni kutaka kuwapotosha wananchi.

View attachment 1624396
Kazi ya CCM ndio hii
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
2,483
2,000
Unawaza ujinga.Akili zako zinawaza kuumizana tu.huna jambo jingine la maana unaloliwaza ukisikia neno maandamano ya amani zaidi ya raia wasio na hatia kupigwa.Polisi ndio waliofurika nchi nzima kuzuia maandamano tena ya amani.Kwahiyo kwa hali hiyo ulitegemea nini.Sio lazima afanye kile unachotaka wewe.mmeshaamua iwe hivyo mlivyoamua wacha kufwatafwata ratiba za watu wasikokuhusu.Wacha lissu aendelelee na maisha yake na mambo yake nawewe na mtu wako endeleeni na maisha yenu na mambo yenu.
Maandamano.ya amani wakati baafhi ya wafuasi weu wanakuwa na vitu kama mask mapanga na baadhi ya siraha zingine?

Kuna mtu huko msoma kapakingari ikiwa ina wimbo wa CCM pia kawakuta vijana na kwaanbia tuliwambia tutawashinda sasa bado mnabisha?

Jamaa kachoa kisu kamchoma mara mbili kama sio tatu.

Sasa kwa anini atembee na kisu, na ni kwa nini asiwe ma uvumilivu maana alienda kushindana na akijua kuna kushindwa?
Mheachiwa muandamane kungekuwa na fujo sana.

Fikili mna andamana kisha unakutana na mtu wa CCM nae ana mavazi kisha anawazodoa je mtavumilia na kuitikia amani au mtamshambulia?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom