Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu...
39 Reactions
101 Replies
7K Views
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo. Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mh Rais kuwateua Mawaziri wawili, yaani Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi na Waziri wa Fedha Prof Mpango kumezuka watu wanaoandika mtandaoni kuwa Rais...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuhusu maandamano na uwajibikaji wa wananchi katika kuiwajibisha Serikali au kupinga jambo wakiwa kama waTanzania kwa ujumla wao,hizi za kina Chadema na ACT Wazalendo na wengine kama wapo ni...
0 Reactions
4 Replies
794 Views
Anaandika Askofu Bagonza Mbwa hubweka. Asiyebweka hata akipigwa jiwe ni “mdoli “ wa mbwa. Mbwa halisi ukimzuia kubweka, utabweka wewe. Mbwa akibweka usiku humwamsha mwenye nyumba toka usingizini...
15 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana JF, Huu uzi ni wa kumbukumbu. Weka hapa mambo yote ya kusikitisha yaliyotokea katika uchaguzi mkuu wa 2020. JF ni sehemu ya kuelimishana na kutunza kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijavyo...
15 Reactions
63 Replies
7K Views
Lubuva kushitakiwa mahakama ya Tanzania Wakati kesi ya kupinga kuchaguliwa kufuli ikifunguliwa katika mahakama ya ICJ kwani matokeo ya Urais hayapingwi katika mahakama za Tz, But Lubuva...
0 Reactions
70 Replies
11K Views
Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa amewashukuru wabunge wa vyama rafiki Chadema, Cuf na ACT wazalendo kwa kumpigia kura za "ndio" kwenye ushindi wake wa 100% wa kumthibitisha kushika wadhifa huo. Mh...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna nchi duniani hazina jeshi zaidi ya polisi,fire fighters and serikali na wanaenda vizuri tu. Kwa Zanzibar kama una ndugu polisi au mwanajeshi basi hata ukiguswa inakuwa rahisi mambo yako...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
CHADEMA WALIMSAFISHA LOWASA, ZUBER UTAMSAFISHA LINI MBOWE? Mwaka 2014 Zuber alitumia nguvu nyingi kuanika kashfa za Chadema ila alitumia nguvu nyingi zaidi kuandika na kuzungumza yale mabaya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Namuonea huruma anayeenda kuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mimi najua atakua Kabudi tu. Anga la diplomasia katika kipindi hiki kinachofuata itakua ngumu sana na waziri husika na naibu wake watakua na...
58 Reactions
175 Replies
13K Views
Na ashukuriwe Mungu muumba mbingu na nchi, Ndg. zangu wana JF, Asalamualeykhum. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa rehema zake na wema wake hata tumeweza kuiona siku ya leo. Ndugu zangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana inasemekana kila mtu kwa namna moja au nyingine hufanana na mtu mwingine angalau mmoja hapa duniani. Ukimwangalia Trump jinsi alivyoshuighulikia misingi iliyokuwa inabeba...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
MZEE MANDELA'S WISDOM "Baada ya kuwa Rais, niliwataka baadhi ya walinzi wangu kwenda kutembea mjini. Baada ya kutembea, tulienda kula chakula cha mchana kwenye mgahawa. Tulikaa katika moja ya...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Anaandika Wakili Msomi Albert Msando All, I have read the message by Senior Counsel Lissu. I have also taken note that he has alleged that I am one of the plotters to block him from contesting...
13 Reactions
193 Replies
21K Views
Sijaelewa kitu kimoja naomba mnifafanulie vizuri 1. Mapendekezo na aliyoyasema kuyafanya au kuyatekeleza je yana uhusiano na bajeti ya Mwaka huu au yatakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mheshimiwa Raisi John Pombe Joseph Magufuli. Nimelazimika kukutumia Salaam za Pongezi kwanza kwa ushindi wako Binafsi, Chama chetu pamoja na ushindi wa CCM Zanzibar, kwenye Majimbo Bara na...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwakweli ukipitia comments kila Mheshimiwa Sana anapo-tweet,unapata picha jinsi watu walivyo na machungu na hasira juu yake. Swali ni je,Mheshimiwa Sana huwa anapitia hizo comments? Na vijana wa...
25 Reactions
58 Replies
6K Views
Hii ni dalili kuwa hamlitakii mema taifa letu na ipo siku mtaliletea janga kubwa. Ndio maana aliyekuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM aliwahi kutoa ombi kuwa Chadema ni chama cha wapenda vurugu...
29 Reactions
162 Replies
13K Views
Kwa wale tuliofatilia hotuba ya Mh. Rais mpaka mwisho katika hotuba ya ufunguzi wa Bunge na kusikiliza wageni mbali mbali wa Jumuiya za Kimataifa wadau wa maendeleo pamoja na wawakilishi na...
11 Reactions
65 Replies
6K Views
Back
Top Bottom