Kuna Watu wanajimwambafai kuwa kukatwa misaada haiwasumbui. Nawakumbusha kuwa baada ya kutunga Sheria ya Takwimu isiyokubalika Benki ya Dunia ilizuia Fedha zake. Serikali ya Magufuli iliufyata na...
Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia...
Nauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo.
Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya...
Serikali ijikite Zaidi kwenye matokeo; jambo flani likisemwa linatimia. Mfano, zamani mifuko ya rambo ilikuwepo lakini serikali ikajifunza ukweli kuhusu madhara yake na hatimaye ikaja na solution...
Salaam wana JF,
Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi...
Naona nchi hii sasa imegawanyika vibaya mno kisa siasa.
Nachotaka kusema hapa uchaguzi umepita na ulikuwa na machungu mengi maumivu mengi kisa tu chama fulani wabaki madarakani, yote na yote...
Ogopa sana kumfanyia Unyangindo (Uhuni) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni...
Tanzania: Killings, arbitrary detention and torture of opposition members in aftermath of elections
20 November 2020, 12:00 UTC
Tanzanian authorities must launch a prompt, thorough and...
Madelo ga wiza mkaya,
Wanajamvi nimekuwa mashuhuda wa chaguzi mbalimbali tangu enzi za akina mbowe wa helkopta, akapigwa chini na jk.
Akaja padre mstaafu ndugu Slaa, akapigwa tena
Akaja Ngoyai...
Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na Wananchi imeshaanza kuchapa kazi, Wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa.
Kinachoshangaza baada ya kupigwa...
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.
Uchaguzi wa mwaka...
Hii ni kama strategy ya UKAWA kujenga mgombea wake kwa mwaka 2020, baada ya kuone appointment ya Katibu mkuu kukosa mwito ndani na nje ya muunganiko huo.
Kauli na matendo ya Lissu yanaonyesha...
Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani.
Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na...
Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo.
Ubalozi umeeleza kuwa ni...
Ni dhahiri kuwa Mbowe na Chadema wamezichanga na kuzicheza karata zao vyema sana. Kitendo cha Mbowe kutamka hadharani umuhimu wa maridhiano kati ya serekali na wapinzani kililenga ku draw...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE DHIDI YA SAKATA ENDELEVU LA UONEZI JUU YANGU KATIKA KUTIMIZA NDOTO ZANGU KIELIMU.
-------------------------------------
Na: Alphonse Lusako...
Wana bodi salaam,
Katiba yetu sio Msahafu/Biblia, nikiwa na maana muda wowote inaweza fanyiwa marekebisho pale inapohitajika kwa maslahi ya taifa yenye tija. Hili tumekuwa tukiliona likitokea...
Bado tuna safari ndefu kwa nguvu ya mihimili kwa Tanzania bora tunayoitaka.
Ukifatilia uteuzi wa wakuu mihimili na uwezezeshaji kifedha inategemea hisani na maamuzi ya Rais aliyepo.
Sote...
SIMULIZI YA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WATATU AKIWA NA UJAUZITO WA MIEZI 6. WATOTO WAWILI WALIFARIKI DUNIA. ANADAIWA TSH MILIONI 113 HOSPITALINI
Mama wa watoto Njiti, Emelia Francis amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.