Serikali inapaswa kuendesha mambo yake kwa ukweli na ijikite kwenye matokeo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,332
2,000
Serikali ijikite Zaidi kwenye matokeo; jambo flani likisemwa linatimia. Mfano, zamani mifuko ya rambo ilikuwepo lakini serikali ikajifunza ukweli kuhusu madhara yake na hatimaye ikaja na solution. Ukweli ukatimia.

Ukweli Unatakiwa utimie. Yapo ma-case makubwa yafufuliwe tu ilmradi ni ukweli ili watu wazidi kujifunza.

Mambo ni mengi, na kwa dhati serikali inapaswa iendelee kwa ukweli. tutawaliwe kwa ukweli na ukweli ubaki kuwa ukweli cha msingi watu tupate hela.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,241
2,000
Mambo yanabadilika kwa mfano zamani ufisadi walikuwa wanafanya wafanyakazi wa kawaida ila sasa hivi anafanya Rais!Imagine lijitu linachukua TZS billion 70 za COVID-19 kutoka EU kisha linazipiga kimya kimya na kuzitumia kuchafua uchaguzi!
1605965980805.png
 

mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
1,158
2,000
Ukweli na serikali wapi na wapi. Mtu anayeiba uchaguzi alafu anatoka kuja mbela ya kadamnasi, tena macho makavu kabisa, anajipongeza kwa ushindi mkubwa! either he is delusional au ni mwongo aliyekubuhu ambaye hawezi tena kuutofautisha ukweli na uongo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom