Mzee Warioba yupo wapi? Katiba ya wananchi tutaipata lini?

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,394
2,000
Bado tuna safari ndefu kwa nguvu ya mihimili kwa Tanzania bora tunayoitaka.

Ukifatilia uteuzi wa wakuu mihimili na uwezezeshaji kifedha inategemea hisani na maamuzi ya Rais aliyepo.

Sote tumeshuhudia Ndugai na wabunge wanavyojishusha hususani wa ccm kwa JPM mbali ya kuwa C.man.

Leo tena mwishoni Ndugai katumia tafsida kumshukuru JPM kuhusu mafao na stahiki wabunge "....kuhusu utaratibu...huwa mnanituma nami nafikisha.....utelekezaji unaendelea....mpeni makofi /pongezi nyingi zaidi..."

Rai yangu vyama upinzani wekeni dai la katiba ya wananchi liwe kipaumbele katika Ilani, wachache ccm wananeemeka na mfumo huu hawawezi kuligusia.
 
nG'aMBu

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
1,356
2,000
Hii nchi ya ajabu sana, wananchi wanategemea akina Warioba sijui CHADEMA kutafuta katiba mpya, hivi kwanini wananchi tusilianzishe hili jambo wenyewe,
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,394
2,000
Hii nchi ya ajabu sana, wananchi wanategemea akina Warioba sijui CHADEMA kutafuta katiba mpya, hivi kwanini wananchi tusilianzishe hili jambo wenyewe,
Mtaji wa ccm ni ujinga wa Watanzania, ila habari njema Wajinga wanazidi kupungua sana Tz.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,637
2,000
Bado tuna safari ndefu kwa nguvu ya mihimili kwa Tanzania bora tunayoitaka.

Ukifatilia uteuzi wa wakuu mihimili na uwezezeshaji kifedha inategemea hisani na maamuzi ya Rais aliyepo.

Sote tumeshuhudia Ndugai na wabunge wanavyojishusha hususani wa ccm kwa JPM mbali ya kuwa C.man.

Leo tena mwishoni Ndugai katumia tafsida kumshukuru JPM kuhusu mafao na stahiki wabunge "....kuhusu utaratibu...huwa mnanituma nami nafikisha.....utelekezaji unaendelea....mpeni makofi /pongezi nyingi zaidi..."

Rai yangu vyama upinzani wekeni dai la katiba ya wananchi liwe kipaumbele katika Ilani, wachache ccm wananeemeka na mfumo huu hawawezi kuligusia.
Pia mzee Cleopa Msuya huwa namuona hana ukaribu na serikali ya Magufuli au biashara zake zinam keep busy
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,637
2,000
Hii nchi ya ajabu sana, wananchi wanategemea akina Warioba sijui CHADEMA kutafuta katiba mpya, hivi kwanini wananchi tusilianzishe hili jambo wenyewe,
Watz walivyo waoga wa kutetea haki zao, hakuna wakulianzisha tofauti na watu jamii ya Zitto
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,955
2,000
Bado tuna safari ndefu kwa nguvu ya mihimili kwa Tanzania bora tunayoitaka.

Ukifatilia uteuzi wa wakuu mihimili na uwezezeshaji kifedha inategemea hisani na maamuzi ya Rais aliyepo.

Sote tumeshuhudia Ndugai na wabunge wanavyojishusha hususani wa ccm kwa JPM mbali ya kuwa C.man.

Leo tena mwishoni Ndugai katumia tafsida kumshukuru JPM kuhusu mafao na stahiki wabunge "....kuhusu utaratibu...huwa mnanituma nami nafikisha.....utelekezaji unaendelea....mpeni makofi /pongezi nyingi zaidi..."

Rai yangu vyama upinzani wekeni dai la katiba ya wananchi liwe kipaumbele katika Ilani, wachache ccm wananeemeka na mfumo huu hawawezi kuligusia.
Kwa mtazamo wangu naona Afrika nchi nyingi shida siyo katiba mpya maana hata zilizopo haziheshimiwi na zinachezewa muda wowote kukidhi matakwa ya watawala au hata zinavunjwa na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.

Mfano hata hii iliyoppo inavunjwa mara kwa mara na hakuna linalofanyika. Nadhani kwanza vyombo vyetu kama mahakama, bunge viwe na meno viwe huru siyo vinyenyekee watawala.

Mfano mzuri ni kenya, pamoja na kuwa na katiba mpya nzuri, raisi ana kisasi na majaji wale waliotoa hukumu dhidi yake kwenye uchaguzi mpaka ukarudiwa. Wengine wameundiwa zengwe na mpaka leo mahakama haifanyi kazi maana majority ya wabunge ni wa chama chake.
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,856
2,000
Bado tuna safari ndefu kwa nguvu ya mihimili kwa Tanzania bora tunayoitaka.

Ukifatilia uteuzi wa wakuu mihimili na uwezezeshaji kifedha inategemea hisani na maamuzi ya Rais aliyepo.

Sote tumeshuhudia Ndugai na wabunge wanavyojishusha hususani wa ccm kwa JPM mbali ya kuwa C.man.

Leo tena mwishoni Ndugai katumia tafsida kumshukuru JPM kuhusu mafao na stahiki wabunge "....kuhusu utaratibu...huwa mnanituma nami nafikisha.....utelekezaji unaendelea....mpeni makofi /pongezi nyingi zaidi..."

Rai yangu vyama upinzani wekeni dai la katiba ya wananchi liwe kipaumbele katika Ilani, wachache ccm wananeemeka na mfumo huu hawawezi kuligusia.
Hatuhitaji katiba mpya,tunahitaji maendeleo,iliyopo inatosha.Tunachohitaji ni political will ya kutuletea maendeleo.
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,456
2,000
Mzee wa watu alipambana kuwasaidia watanzania kupata katiba mpya, vijana watoke kwenye shimo lenye giza la katiba ya zamani. Ila fadhila alizolipwa ni kuishia kupigwa kibao na kudhalilishwa na Makonda, akaamua kujikalia kimya.

Watanzania tuna laana hata wazee hatuwa heshimu.

Mzee wa watu muacheni amalizie umri wake kwa amani, msije kumponza safari hii akaishia kupigwa ngumi kabisa ang'olewe meno (meno yenyewe kabakisha 6 tu).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom