SIMULIZI YA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WATATU AKIWA NA UJAUZITO WA MIEZI 6. WATOTO WAWILI WALIFARIKI DUNIA. ANADAIWA TSH MILIONI 113 HOSPITALINI
Mama wa watoto Njiti, Emelia Francis amesema...
Habari wakuu,
Tunaaswa kuwa na IMANI iliyo imara ila sio kutumia imani kwa ovyo,jukwaa la siasa mmepata washabiki wengi wa chama cha Lissu maana ni nyuzi za Lisu mshindi, Lisu ndo anatakiwa...
Ndugu Maalim Seif,
Tumekusikia ukikiri kupokea barua toka Serikali ya Zanzibar( Rais wa Zanzibar) juu ya kushiriki kwenu ACT Wazalendo kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Ushauri wangu...
Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani/wawakilishi Tanzania ulifanyika tarehe 28/10/2020, umekwisha na kupita.
Hakuna mjadala kwa hili...
Mjadala ni umekwishaje na nini matokeo yake. Hapa...
Tundu Antiphas Lissu
Umeona yaliyotokea, kura Watanzania tumepiga ila matokeo yake ndIo hayo. Matokeo yanayotangazwa sio matokeo ya kura zilizopigwa ni matokeo ambao tayari NEC na CCM walikuwa...
Vijana wa Chadema Mkoa wa Dar es Salaam wameanzisha kampeni kubwa ya kutaka Freeman Mbowe achukue fomu kwa mara nyingine ya kugombea Uenyekiti CHADEMA.
Kampeni hiyo yenye kauli mbiu...
1.Ripoti imeendelea kusisitiza eneo la ukuaji wa uchumi kuwa unakua kwa kasi nzuri ya asilimia 7% , jambo ambalo nimesisitiza mara kadhaa kuwa ukuaji huo upo tangu 2005/06 ambapo uchumi...
Ulaya na Marekekani wakibana na Marekani wakatumia influence yao kwenye mashirika kama Benki ya dunia, nchi hii miradi mingi itakwama na hata hiyo SGR na ujenzi wa Bwawa la Umeme vyote vinaweza...
Ni kawaida ya CHADEMA kwenda na matukio na wakati mwingine huvamia tu agenda bila ya kuwa na mwelekeo wowote.
Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na...
Hili suala la kuwapa wabunge mamilioni ya fedha kwa ajili ya wabunge lifutwe kabisa.
Miaka ya utawala wa awamu ya kwanza na pili serikali ilikuwa inatoa gari kwa kila jimbo kwa matumizi ya mbunge...
Na Mwandishi Wetu
Zipo taarifa zinasambaa kwamba bunge la Jumuiya ya ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada inayokadiriwa kufikia shilingi trillion 1.6 kwa muda wa miaka 6 kutoka 2014-2020...
Kuna kitu kimoja ambacho Magufuli anapaswa kutafakari sana - jinsi ya kukabiliana na mataifa tajiri pale ambapo anaona kama yanatukandamiza au kutuingilia.
Nasema hivi kwa kuwa ni wazi sana...
Andrew Mitchell
YATOA ASILIMIA 30 KWENYE FUNGU LA BAJETI
SERIKALI ya Tanzania imepata pigo kiuchumi baada ya Uingereza kupunguza msaada wake katika fungu la bajeti kwa mwaka wa fedha 2011/12...
Rais Magufuli leo tarehe 05 Feb2020 amekutana na Balozi wa Umoja wa Ulaya Mr. Manfred Fanti Ikulu jijini Dar es salaam. Mr. Fanti amesema mazungumzo yake na JPM yamekuwa ya manufaa makubwa ambayo...
Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.
Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa...
Wengi wa viongozi waalikwa kutoka kwenye mataifa marafiki wa Tanzania waliohudhuria kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika ni wawakilishi wa marais wa nchi watokazo.Hakuna rais hata...
Mwandishi Wetu - Raia Mwema
Matanuzi yao sasa kutegemea mshahara
Upembuzi wa athari wafanyika
Siku nne tu za ‘wikiendi' walilipwa milioni 129/-
SAKATA la nyongeza ya posho kwa...
Rais Magufuli anatakiwa kutengua uteuzi wa Waziri Mpango na Waziri Kabudi kwa kuwateua kabla Waziri Mkuu hajapatikana, nakuteua wengine ili asifunguliwe kesi baada ya kustaafu.
Don Nalimison...
Nimemsikia Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ameongea mengi na wala hakuna haja ya kuyarudia tena hapa, lakini nitagusia machache hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.