Je, maalim Seif akijiunga na GNU ya SMZ wabunge wa Chadema (viti maalumu) wataenda bungeni?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,736
2,000
Nauliza tu maana pamekuwepo na ushirikiano usio rasmi kati ya Chadema na ACT wazalendo.

Kwa sasa uongozi wa ACT wazalendo unaitafakari barua ya mwaliko wa kujumuika na CCM kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na inshallah Mungu akipenda watajiunga.

Je, Chadema nao watafuata nyayo kwa kuitikia wito wa Spika Ndugai kupeleka wabunge wanawake Dodoma?

Maendeleo hayana vyama!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,062

Ya ACT yanawahusuje CDM? Unauliza maswali yamepinda sana. What is the connecting link between ACT joining GNU and CDM special seats attending the Bunge
 
Blackjew

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
628
1,000
Pelekeni watu bungeni hao hao wawili au watatu watapambana na hiyo mishetwani Ccm
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,881
2,000
hiyo ndiyo habari njema mengine takataka
Hata wakilalamika Tanzania inachafuliwa hawaelezi sababu ya kuchafuliwa ni kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Wanasema mabeberu wanatuonea wivu kwakua tunajenga Stigilers George.
 
dullame

Member
Feb 14, 2017
34
125
Maalim Seif kuwa Makamu wa kwanza wa Rais ni suala la muda tu!Ni wazi ana tambua ushindi wa Dr Mwinyi NA maoni yake juu ya Baraza la Mawaziri linaakisi niliyoyasema.
 
Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
1,644
2,000
Kwa Umri wa Maalim Seif na offer iliyopo mezani, i bet atakwenda kuikubali.

Kwa upande wa CDM huku bara, No comment
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom