Watanzania tuwe wamoja katika kipindi hiki kigumu

hito

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
501
913
Naona nchi hii sasa imegawanyika vibaya mno kisa siasa.

Nachotaka kusema hapa uchaguzi umepita na ulikuwa na machungu mengi maumivu mengi kisa tu chama fulani wabaki madarakani, yote na yote tumeyaona.

Ila naomba tusameheane tuendelee kuijenga nchi yetu maana kwa sasa naona kwa hatua tuliofikia ni rahisi sana maadui kuipiga Tanzania maana mikoa yote ya mipakani imevurugwa na huu uchaguzi watu wana vidonda moyoni.

Ila tukumbuke Tanzania ni yetu wote sisi masikini hatuna uwezo hata wa kukimbilia nchi nyingine na ndio tulio wengi chonde chonde tuipende nchi yetu yaliyo tokea tuyasamehe tu na maisha yaendelee siasa zisitufanye tuchukiane.

Naona watu wanashangilia Bunge la Ulaya kupendekeza misaada kukatwa nchini naomba niseme tusifurahie haya mambo yatakuwa magumu sana.

Tuipende nchi yetu kwa vizazi vyetu
 
Nchi imegawanyika wapi mkuu?

Wajinga wachache wasikutishe.

Ukiwa unakesha huku mitandaoni utaambiwa nchi iko katika hali mbaya wakati huku mitaani watu tunaendelea na mishe zetu.

Hata Zimbabwe tuliambiwa ina hali mbaya kweli kweli lakini umeona yule GINIMBI kwamba katoka kwenye jamii hiyo hiyo tuliyoambiwa wanaishi kama sokwe?
 
Yaani kweli ukiwa huku mtandaoni unaweza sema tumekwisha. Lakini katika hali ya kawaida maisha yanaenda Kama Jana na juzi.
 
Nchi imegawanyika wapi mkuu?

Wajinga wachache wasikutishe.

Ukiwa unakesha huku mitandaoni utaambiwa nchi iko katika hali mbaya wakati huku mitaani watu tunaendelea na mishe zetu.

Hata Zimbabwe tuliambiwa ina hali mbaya kweli kweli lakini umeona yule GINIMBI kwamba katoka kwenye jamii hiyo hiyo tuliyoambiwa wanaishi kama sokwe?
Wewe boya kweli unatolea mfano pato la taifa kwa mtu mmoja
 
Unakujua moyovozi kulikuwa na kambi ya wakimbizi toka Burundi au mtabila SAA hizi ni kambi ya jkt kasulu sasa warundi wamekuwa wakipitishwa sana maaneo hayo tena sana silaha nzito ninacho kisema nimeshuhudia na nimekiona kwa macho watanzani imefikia hawatoi kabisa ushirikiaono na vyombo vya ulinzi kabisa.

Nikajiuliza hii ni nini sasa na nimeona igp nae kasema wale wahalifu sijui magaidi walio ingia mtwala walisaidiwa na wenyeji ila kama upo katika ya miji huwezi jua hili tembelea mikoa ya mipakani ndio utajua nini nazungumza ulinzi shirikishi haupo.

Nchi imegawanyika wapi mkuu?

Wajinga wachache wasikutishe.

Ukiwa unakesha huku mitandaoni utaambiwa nchi iko katika hali mbaya wakati huku mitaani watu tunaendelea na mishe zetu.

Hata Zimbabwe tuliambiwa ina hali mbaya kweli kweli lakini umeona yule GINIMBI kwamba katoka kwenye jamii hiyo hiyo tuliyoambiwa wanaishi kama sokwe?
 
Unakujua moyovozi kulikuwa na kambi ya wakimbizi toka Burundi au mtabila SAA hizi ni kambi ya jkt kasulu sasa warundi wamekuwa wakipitishwa sana maaneo hayo tena sana silaha nzito ninacho kisema nimeshuhudia na nimekiona kwa macho watanzani imefikia hawatoi kabisa ushirikiaono na vyombo vya ulinzi kabisa
Nikajiuliza hii ni nini sasa na nimeona igp nae kasema wale wahalifu sijui magaidi walio ingia mtwala walisaidiwa na wenyeji ila kama upo katika ya miji huwezi jua hili tembelea mikoa ya mipakani ndio utajua nini nazungumza ulinzi shirikishi haupo
Kwa hiyo hayo ni matokeo ya siasa za Lisu kushindwa?
 
Tanzania kwa sasa hivi ni kichwa cha mwendawazimu.Kwa sasa hivi rafiki yetu mkubwa na mdau wetu mkubwa wa maendeleo ni Zimbabwe! Huu ni uongozi wa namna gani sasa? Tunavyosema kuwa Tanzania inaongozwa na goigoi ni vyema tukaelewana kwanza kwenye hilo kabla ya yote.Yaani nchi masikini mdau wake mkubwa wa maendeleo na rafiki yake mkubwa wala siyo masikini kama yeye.

bali ni fukara!
1605847347.jpg
 
Nchi imegawanyika wapi mkuu?

Wajinga wachache wasikutishe.

Ukiwa unakesha huku mitandaoni utaambiwa nchi iko katika hali mbaya wakati huku mitaani watu tunaendelea na mishe zetu.

Hata Zimbabwe tuliambiwa ina hali mbaya kweli kweli lakini umeona yule GINIMBI kwamba katoka kwenye jamii hiyo hiyo tuliyoambiwa wanaishi kama sokwe?

Ahaaa ahaaa nimecheka kwa nguvu vibaya sana, kwahiyo ukisikia Tanzania ni nchi masikini sana, ni kwamba hakuna mabilionea? Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.

Kuna mtendaji wetu mmoja wa mtaa aliyepita kwa ule uchaguzi wa kishenzi, ameitisha vikao kama mara mbili vya sijui maendeleo, anapata idadi ndogo sana ya watu mpaka amesema yeye hana shida ataendelea na cheo chake!
 
Mkuu %98 Za biashara za GINIMBI zipo South Africa
 
Ahaaa ahaaa nimecheka kwa nguvu vibaya sana, kwahiyo ukisikia Tanzania ni nchi masikini sana, ni kwamba hakuna mabilionea? Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.

Kuna mtendaji wetu mmoja wa mtaa aliyepita kwa ule uchaguzi wa kishenzi, ameitisha vikao kama mara mbili vya sijui maendeleo, anapata idadi ndogo sana ya watu mpaka amesema yeye hana shida ataendelea na cheo chake!
Kama hufanyi kazi na kumtegemea Lisu hao mabilionea utawasikia tu huku wewe ukiendelea kuwa mmoja wa masikini
 
Aliekwambia upendo hulazimishwa nani, tunasema hum watu wenye nafasi zao wameziba, masikio, leo hata yakitupata sio kwamba watz hawapendi nchi yao amani na mshikamano ila elewa wapo waliotufikisha hapa, kwa makusudi kabisa na kwa kujua au kwa kujalibu, Sasa taifa linaenda kwenye matatizo makubwa, Cha kufanya ni kuacha ilivyo liwalo liwe kadri mungu atakavyo ona inafaa.

Ni kweli tutapata tabu Sana ila hakuna namna, acha tu Kama ni kufa kwa njaa sawa, watakao baki siku za mbele watayasimulia,na itakua fundisho. Kama unakili watu hawana Imani ya moyo na mnaependa tz, kwa nini msiludie uchaguzi ,ili kuweka taifa sawa na kuziba majeraha.
 
Sio lisu wewe mbona lisu kawakaa sana vivyani watu wanaichukia tu serikali hawatoi ushilikiano pale inapo bidi na imekuwa ni kazi ngumu kujua wahamiaji halamu ambao wamekuwa wakifanya uhalifu tz na kuludi kwao
Sababu ni nini sasa za kutotoa ushirikiano
 
Aliekwambia upendo hulazimishwa nani, tunasema hum watu wenye nafasi zao wameziba, masikio, leo hata yakitupata sio kwamba watz hawapendi nchi yao amani na mshikamano ila elewa wapo waliotufikisha hapa, kwa makusudi kabisa na kwa kujua au kwa kujalibu, Sasa taifa linaenda kwenye matatizo makubwa, Cha kufanya ni kuacha ilivyo liwalo liwe kadri mungu atakavyo ona inafaa.

Ni kweli tutapata tabu Sana ila hakuna namna, acha tu Kama ni kufa kwa njaa sawa, watakao baki siku za mbele watayasimulia,na itakua fundisho. Kama unakili watu hawana Imani ya moyo na mnaependa tz, kwa nini msiludie uchaguzi ,ili kuweka taifa sawa na kuziba majeraha.
Utakufa kwa njaa wewe unaetegemea Lisu angeshinda ndio angekuletea ugali mezani
 
Ukweli ndio huu, nchi hii hakutakuwa na umoja tena...hadi Magufuli aondoke madarakani. Wala haitaendekea kabisa hadi CCM iondoke madarakani.

Watu wataishia kutishwa, wengine kuuawa, kufungwa, kufunguliwa makesi, kufukuzwa n.k...ili wawe waoga wakae kimya, lkn Tanzania imeishavurugika!

Kuiweka sawa hakwezi kutegemea akili za kina Magufuli tena!
 
Back
Top Bottom