Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika kuhakikisha anakuwa karibu kufuatilia shughuli mbalimbali za maendeleo jimboni kwake Vunjo, kuwasikiliza wananchi mmoja mmoja au...
TOKA LINI MWANAUME ANAYEJUA KUTAFUTA HELA UKAMTISHIA ETI HAUMPI HELA!?
Leo 22:05hrs 19/11/2020
Ukimtishia Mwanaume anayejua kutafuta hela eti haumpi hela,hawezi kutishika,Chuma kinakusanya...
Mabibi na mabwana ni asiye na macho tu ndiye anayeweza kudhani palikuwa na uchaguzi hapa kwetu na kuwa eti matakwa ya wapiga kura yameheshimiwa.
Ndani ya nchi watu wako kimya si kuwa wote...
Katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na ITV nimemskia Kamanda Sirro akisema kuwa Polisi walilazimika kutumia nguvu waliyotumia Ili kudhibiti wananchi huko Pemba baada ya Wananchi hao...
Mimi naona serikali ingebadili sera kuhusu idadi ya wabunge kwenye bunge la muungano. Badala ya kuwa na mbunge kila jimbo, kuwepo na wabunge wa-3 tu kila mkoa watakaowawakilisha wananchi bungeni...
Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo.
Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda.
Je,
Hawana ushahidi?
Wamekubali yaishe...
Ushirika wa Chadema, Christian Democratic Union, Konrad Adenauer Stiftung na David McAllister.
Nimesoma na kufuatilia mjadala kuhusu alichokisema Bwana David McAllister kwenye kikao cha Kamati ya...
TUSIHOFU, HII NDO VITA YA KIUCHUMI
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana kumezuka mtifuano mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kile kilichoelezwa kuwa ni maazimio ya bunge la EU kwa Tanzania...
Habib Mchange: Nitashangaa sana kama wanawake wa CHADEMA wataendelea kuburuzwa na wanaume kwenye chama kuhusu mambo yanayowahusu.
Viti maalum sio suala la hisani ya Mbowe, Mnyika wala sio suala...
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!
Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa...
Kufuatia ushindi wa kishindo na mtazamo wadau wa maendeleo, natarajia Wabunge wetu na wateule wa Rais kuonesha uzalendo kwa kukubali kupokea robo mshahara na akiba iende kusaidia pengo kufuatia...
Wakati wa ukoloni jamii nyingi sana za Afrika zilipitia masaibu mengi sana toka kwa wakoloni hao. Sisi Tanzania tulikuwa chini ya mkono wa chuma wa Wajerumani wakitufanyia mambo ya ajabu kabisa...
Mwandishi wa makala hii ni Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA.
Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania kwa kutumia...
Wakuu,
Haya ni maono binafsi kwa rejea za USA Senate, EU council, wanaharakati wa haki za binadamu, waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi
1. Kati ya nchi inayotajwa zaidi duniani kwa sasa...
Kutokana uchaguzi huu ulivyokwenda, binafsi naona kuna uwezekano wa asilimia 70 mpaka 80 wa wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa, kusitisha kutoa fedha zao kwa hii serikali unless...
Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi
Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam
Tafadhali usikose
Tafadhali mjulishe Mwenzako
Tuna Jambo Letu
Mara baada ya rais Magufuli kuapishwa alisikika akisema atahakikisha anaufuta upinzani ifikapo 2020, ni kweli amefanikiwa kwa kiasi fulani, lakini madhara ya kuua upinzani ni makubwa kuliko kuwa...
NI KAMA USHAMBA TU LEO AFRIKA KUSHABIKIA ICC?
Na Elius Ndabila
0768239284
Msamiati wa ICC umekuwa maarufu sana Tanzania kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ninaamini wapo ambao wanalitamka neno ICC...
...that is the question.
He’s been quiet for a good minute now since his aspiration to become an MP didn’t come to fruition.
During his ‘governorship’, some wondered whether he had some sort of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.