mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika.
Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja, Dkt.Ali Salum Ali, amesema watapangiwa kazi nyingine kwa mujibu wa taaluma zao.
Tanzania tunayoitaka, Mungu awalinde viongozi wetu Dkt. Hussein Mwinyi na Dkt. John Pombe Joseph Magufuli