Imeandikwa na Janeth Rithe, Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo.
Nimesoma maoni ya Ndg. Tundu Lissu kuhusu Uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar...
Mods, na wana JF,
Haitakuwa busara kwa thread hii kuipeleka sehemu ya dini, inajulikana sehemu hiyo haifikiwi na watu wengi hapa JF ikiwa mimi mmoja wapo.
Ni matumaini yangu kuweza kuiaccess...
Wakuu nmesikiliza hotuba ya Maalim Seif baada ya kuapishwa, nikiri tu kwamba huyu mzee ana busara sana. Seif anajua kwamba Zanzibar ni zaidi ya ACT Wazalendo na CCM,.
Na kwa hotuba hii kama...
Kiukweli Chadema wana mchango wa kutosha katika serikali yetu na hasa katika level ya uwaziri.
Mawaziri wafuatao wamewahi kutumika pale Ufipa katika level tofauti za uongozi kwa nyakati tofauti...
Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo.
Leo...
Wasaalam ndugu zangu WaTanzania.
Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada yangu.Toka ACT WAZALENDO ijiunge na serikali ya Zanzibar kumekuwa na minong'ono mingi sana na kuonekana kama ACT ni...
Imekuwa kama mashindano kila siku unakuta mkuu wa wilaya fulan, ata akiwa anawaza tu ofisini anatupia picha eti " nikiwa kwenye mawazo, Mara akipita rais, anapiga eti " nikitekeleza hapa kazi tu"...
Sasa ni rasmi Zanzibar imepata Makamu wa kwanza wa Rais. Hii imetokea siku ya leo tarehe 7/12/2020 baada ya Maalim Seif wa chama cha ACT Wazalendo kula kiapo.
Hii ni mara ya pili kwa Maalim Seif...
Mada inahusika,
Ujumbe huu unawahusu wana mageuzi wa Kweli wa CHADEMA na GT pekee na sio wafia chama na wapiga debe.
Kuifahamu historia ya mapambano ya Zanzibar walau kuanzia 1995 hadi sasa...
Tumekuwa tukishuhudia kila kiongozi kabla ya kukabidhiwa madaraka, ni lazima kwanza aape na katika kiapo hicho, sharti kuu ni kuilinda na kuiheshimu Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama ya nchi...
Tumeshuhudia mitandaoni ikisambaa clip kuhusu figisu alizokumbana nazo Dangote katika kiwanda Cha cement Mtwara.
Tuhuma nyingi zinaelekezwa kwa watumishi wa Umma ambao wanamaslahi binafsi kuliko...
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.
Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.
Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto...
Kwa namna mambo yanavyoendelea hivi sasa hapa nchini ni wazi kuwa hakuna dhuluma iliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28 2020.
Ushahidi pekee wa picha zilizopigwa kihuni na watu kuchoma kura...
Huyu ni Mkuu wa Wilaya ambae ukimsikiliza, unaweza kuhoji aliwezaje kuwa mkuu wa wilaya katikati ya Watanzania wengi wenye sifa na wenye busara za uongozi.
Awali alipoandikwa humu wengi tuliamini...
Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dkt. Kigwangalla kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Hafla ya kumuapisha Maalim...
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze...
Niwazi kampeni zimeisha na Rais Dr. JPM amechukua ofisi kwa awamu ya pili, sasa kinachofuata ni utekelezaji wa Illani ya CCM.
Pamoja na ukweli kwamba ilani inayotekelezwa ni ya CCM lkn...
Pamoja na Mkuu wetu wa nchi kutuambia kuwa watanzania tutembee vifua mbele, kwa kuwa uchumi wa Tanzania unazidi kupaa na tupo katika RIGHT TRACK, lakini kiuhalisia ni kuwa kama nchi tunapita...
Hivi karibuni Rais ametangaza baraza la mawaziri ambalo binafsi mimi naona kwamba ni kubwa sana na litakuwa mzigo kwa sisi walipa kodi wa nchi hii.
Kuna baadhi ya wizara zinapaswa kuunganishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.