Zanzibar 2020 Hotuba ya Seif imenitoa chozi, nashauri Rais Magufuli, Mwinyi na Maalim Seif wakutane wagonge glass kidogo

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,883
33,400
Wakuu nmesikiliza hotuba ya Maalim Seif baada ya kuapishwa, nikiri tu kwamba huyu mzee ana busara sana. Seif anajua kwamba Zanzibar ni zaidi ya ACT Wazalendo na CCM,.

Na kwa hotuba hii kama wataenda jinsi walivyo leo nauhakika Zanzibar itapiga hatua sana.

Ningekuwa karibu na JPM ningemshauri awaite Seif na Mwinyi Ikulu ya bara waje wagonge glass kutwa nzima au yeye mwenyewe anaweza kujipeleka Ikulu ya Zanzibar wakagonge glass huko, hakika watu watatiwa moyo na Wabelgiji watanuna sana.

Kingine, kwa kuwa Zitto ameshajirudi ni wakati sasa wa Rais kumpa ubunge na ikiwezekana Wizara kabisa ili tujenge nchi. Haya mengine ya kushirikiana na kina Amsterdam tutawasamehe kina Zitto.

Jioni njema wakuu.
 
Maalim kaongea kwa hisia sana na amejitahdi kutamka mambo magum mbele ya Rais (kukemea yaliyotokea mwezi oct 28)

#lakini naamini huu wote ni unafiki tu mbele ya Wazanzibar !!

#karibu sana CCM Maalim, karibu tuijenge Zanzibar kwa pamoja, hongera kwa maamuzi uliyoona ni sahihi kuliko kugombana na kutunishiana daily jambo ambalo halina afya kwa jamii ya Wazanzibar.
 
Hii miafaka na maneno matamu ya kuunda umoja wa kitaifa zanzibar ilianza tokea enzi za Dr. Salmin na Aman Karume lakini ukweli ni kwamba CCM hawana nia ya dhati, yaani wakifika yale maeneo ya 18 CCM hutia mpira kwapani na gemu ndo imeisha.

Nadhani tumombe M/Mungu kituo 1 tu saivi kwa Wazanzibar ili maisha yaende ule ubaguzi Upemba na Uunguja labda iwe ni mwisho., ilifikia hadi mtu akiwa Mpemba haangaliwi tena sababu ya upemba wake tu, kwamfano nafasi za ajira 200 watasema 150 ni za unguja na 50 ni za pemba, lakini cha ajabu ata zile 50 za pemba huzirudia wakapewa watu wa Unguja.

Ili kuwa ni kosa la jina mpemba kufanya kazi Unguja, au kuhamishiwa kikazi Unguja lakini watu wa Unguja wamepelekwa pemba kwa mzo ata nyumba za kukaa hawana wanafanya kazi kama waalimu, pale Airpot Pemba, Bandarini, sujui maofisini nk ingawa walikuwepo wapemba wenye sifa stahiki lakini waliachwa.

Sasa Tumuombe Mungu huyu Mwinyi amtie moyo aliondowe hili na kwa vile amemteua Mpemba kuwa Makamo wa pili wa Rais, Kuna Mkuu wa Mkoa 1 ametoka Pemba anaenda kufanya kazi mkoa wa Unguja hii ni dalili ya usawa.

Ingawa Zanzibar ndio imeshatutoka hatufikiri sana huyu Mwinyi kama Zanzibar kama Nchi itamuuma sana, sijuwi mambo ya Muungano nk., Na tukija tukisikia imetangazwa Katiba mpya ndio kabisa Zanzibar bayby lakini angalau hawa watu wazanzibar angalau wapate haki zao za kibinadamu itasaidia sana.
 
Maalim kaongea kwa hisia sana na amejitahdi kutamka mambo magum mbele ya rais (kukemea yaliyotokea mwezi oct 28)

#lakini naamini huu wote ni unafki tu mbele ya wazanzibar !!

#karibu sana ccm maalim, karibu tuijenge zanzabar kwa pamoja, hongera kwa maamuzi uliyoona ni sahihi kuliko kugombana na kutunishiana daily jambo ambalo halina afya kwa jamii ya wazanzibar.
Mkuu Seif hana unafiki wowote
 
Sasa Tumuombe Mungu huyu Mwinyi amtie moyo aliondowe hili na kwa vile amemteua Mpemba kuwa Makamo wa pili wa Rais, Kuna Mkuu wa Mkoa 1 ametoka Pemba anaenda kufanya kazi mkoa wa Unguja hii ni dalili ya usawa.
mimi nimefurahi alipowaondoa kwenye serikali wale watoto wa royal family.
  1. Mohammed Aboud
  2. Haji Omar Kheri
  3. Ali Karume
  4. Seif Ali Idd
  5. n.k

kuna eneo fulani nimepita asubuhi ya leo nikaambiwa hii ni nyumba ya Balozi Seif
dah! nilipigwa na butwaa
 
Hii miafaka na maneno matamu ya kuunda umoja wa kitaifa zanzibar ilianza tokea enzi za Dr. Salmin na Aman Karume lakini ukweli ni kwamba ccm hawana nia ya dhati, yaani wakifika yale maeneo ya 18 ccm hutia mpira kwapani na gemu ndo imeisha.

Nadhani tumombe M/Mungu kituo 1 tu saivi kwa wazanzibari ili maisha yaende ule ubaguzi Upemba na Uunguja labda iwe ni mwisho., ilifikia hadi mtu akiwa Mpemba haangaliwi tena sababu ya upemba wake tu, kwamfano nafasi za ajira 200 watasema 150 ni za unguja na 50 ni za pemba, lakini cha ajabu ata zile 50 za pemba huzirudia wakapewa watu wa Unguja.

Ili kuwa ni kosa la jina mpemba kufanya kazi Unguja, au kuhamishiwa kikazi Unguja lakini watu wa Unguja wamepelekwa pemba kwa mzo ata nyumba za kukaa hawana wanafanya kazi kama waalimu, pale Airpot Pemba, Bandarini, sujui maofisini nk ingawa walikuwepo wapemba wenye sifa stahiki lakini waliachwa.

Sasa Tumuombe Mungu huyu Mwinyi amtie moyo aliondowe hili na kwa vile amemteua Mpemba kuwa Makamo wa pili wa Rais, Kuna Mkuu wa Mkoa 1 ametoka Pemba anaenda kufanya kazi mkoa wa Unguja hii ni dalili ya usawa.

Ingawa Zanzibar ndio imeshatutoka hatufikiri sana huyu Mwinyi kama Zanzibar kama Nchi itamuuma sana, sijuwi mambo ya Muungano nk., Na tukija tukisikia imetangazwa Katiba mpya ndio kabisa Zanzibar bayby lakini angalau hawa watu wazanzibar angalau wapate haki zao za kibinadamu itasaidia sana.
Mkuu kilichokuwa kina iharibu Zanzibar mpaka kutokea yote hayo ni siasa uchwara za kichochezi,

Mbona wa zanzibar walioko huku bara tunakunywa nao kahawa safi tu?
 
Mkuu Seif hana unafiki wowote
mkuu unakumbuka huyu jamaa aliwahi kusema uchaguzi haukuwa huru?? 2015 alivumilia why 2020 kashindwa?? Huyu jamaa ni mali yetu ccm (huyu ni wakala wetu kwa namna moja au nyingine) nawapa pole vijana wa pale ufipa kwasababu wai ndo wanamshobokea kupita hata Act wenyewe😃😂😂😂
 
Hii miafaka na maneno matamu ya kuunda umoja wa kitaifa zanzibar ilianza tokea enzi za Dr. Salmin na Aman Karume lakini ukweli ni kwamba ccm hawana nia ya dhati, yaani wakifika yale maeneo ya 18 ccm hutia mpira kwapani na gemu ndo imeisha...
ZANZIBAR haitotutoka iwe mvua iwe jua iwe usiku iwe mchana iwe kiangaz iwe masika iwe kwa uhai iwe kwa kufa

ZANZIBAR FOREVER
 
mkuu unakumbuka huyu jamaa aliwahi kusema uchaguzi haukuwa huru?? 2015 alivumilia why 2020 kashindwa?? Huyu jamaa ni mali yetu ccm (huyu ni wakala wetu kwa namna moja au nyingine) nawapa pole vijana wa pale ufipa kwasababu wai ndo wanamshobokea kupita hata Act wenyewe
Upumbavu wako
 
Yeye mwenyewe anaweza kujipeleka Ikulu ya Zanzibar wakagonge glass huko,
Dogo kuwa na adabu! JPM ni mkuu wa dola, akienda huko ni insubordination ya hali ya juu! Wao wanamfuata. Siyo kama JK huyu
 
Dogo kuwa na adabu! JPM ni mkuu wa dola, akienda huko ni insubordination ya hali ya juu! Wao wanamfuata. Siyo kama JK huyu
Mkuu akienda haiondoi ukuu wake wa dola
 
Back
Top Bottom