Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi. huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada. Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi...
15 Reactions
181 Replies
40K Views
Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini? Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi. Naomba...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Siasa za nchi hii ukizivamia bila kujua vizuri historia yake lazima zitakupeleka sehemu ambayo ulidhani haiwezekani! Wanasiasa wanaozijua vizuri siasa za nchi hii kwa sasa wako na familia zao...
56 Reactions
172 Replies
15K Views
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli? Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana. Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika...
14 Reactions
85 Replies
6K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. =====...
22 Reactions
236 Replies
24K Views
Mbilinyi: CCM na Serikali yake ni vurugu Asema zipo CCM mbili, serikalini uwenzetu upo Afikiria Unguja ingekuwa mkoa na Pemba wilaya Aonya kujiunga OIC ni mawazo finyu na uvivu Na Sarah...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka...
10 Reactions
334 Replies
28K Views
Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba...
41 Reactions
258 Replies
18K Views
Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Serikali imesema idadi ya walimu wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa ni 8,000 pekee tofauti na 13,000 inayolalamikiwa na wadau. Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
1 Reactions
95 Replies
16K Views
Kumekuwa na maoni mengi hasa baada ya ACT-Wazalendo na MAALIM kukubali yaishe kwa Serikali ya mapinduzi Zanzibar, kumekuwa na na majibu hasa kutoka kwa ACT-Wazalendo wakitetea walichokifanya...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndege maalumu ya Rais Tanzania pia hutumika kubeba viongozi wa Serikali Wabunge wa CCM Zanzibar wameibua zengwe jipya dhidi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad kwamba anatumia...
0 Reactions
75 Replies
14K Views
Wanabodi, Naomba kwanza kukiri kuwa mimi sio mchumi, ila ninasoma tuu hoja za wachumi katika economical direction of our nation, the opportunities we have and how do we grab them for our advantage...
12 Reactions
56 Replies
7K Views
Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari ya ACT Wazalendo kukubali kuwa sehemu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zimekuwa za kuwashtua wafuatiliaji wengi wa masuala ya kisiasa. Wengi Wanajiuliza je ACT Wazalendo imekubali dhuluma...
11 Reactions
53 Replies
6K Views
Tuliahidi Tumetekeleza Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Chanya Kwetu Sote ======= Kassim Majaliwa: Interest yetu, tuanze kutoa huduma mara moja na kwakuwa kunakuja nyongeza ya...
12 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari Wadau. Niende moja kwa moja Kwenye Hoja Yangu ya Leo kuhusu Uwekaji Wa Jiwe la Msingi Katika Miradi Mbalimbali Inayotekelezwa Na Serikali Kwa Pesa Za Umma Au Misaada. Kwangu mimi Naona...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Salam wanajukwaa, Kwanza nianze kuwapongeza ACT-Wazalendo kwa ukomavu mkubwa wa kisiasa waliouonesha hakika hii ni ishara ya kuwa ni chama ambacho kinaweka maslahi mapana ya Taifa mbele. Katika...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Hii ni taarifa kutoka Zanzibar iliyotufikia hivi punde, kwamba Dkt. Hussein Mwinyi ameteua Ndugu Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo pamoja na Mwanasheria wa Chama hicho...
13 Reactions
121 Replies
14K Views
Serikali kwa kupitia Wizara ya Utalii na Maliasili iltoa orodha ya mahoteli yanayopswa kulipia vitanda siku nchi nzima na kumkabidhi Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Mhede kuifanyia kazi. Orodha hiyo ya...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Back
Top Bottom