NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dkt. Kigwangalla kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta ya utalii wamefurahi pia.
Ndugu yangu Khamisi una suala la kujiuliza ni kwanini watu wengi wamefurahia wewe kuachwa na JPM.
Ofcoz kuna vitu vilikuwa vinaniboa hata mimi kama zile tabia zako za kutweet tweet! Hivi Waziri wa Wizara kubwa kama ya Utalii unatoa wapi muda kwa kubishana mitandaoni?
Pole sana ila bado kijana mdogo unao muda wa kujifunza.