Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yanapokuja masuala ya mitazamo au mitizamo (attitudes) kila mtu yuko sahihi kwa upande wake. Kwahiyo hakuna aliye sahihi zaidi kuliko mwingine, wala anayekosea maana ni mtazamo wake. Wale...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati tukiwa tunashangazwa na kuumizwa na usaliti unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wetu, binafsi naanza kupata mashaka kuwa huenda kuna rushwa kubwa inatumika kuwarubuni wanasiasa hawa mpaka...
5 Reactions
81 Replies
9K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha kila mkoa kujua bidhaa hiyo inapaswa kuuzwa kwa bei gani...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni Matendo...
84 Reactions
204 Replies
19K Views
Mengi yamesemwa kuhusu nia ya Profesa Makame Mbarawa kugombea Urais Zanzibar 2020. Wapo waloandika makala zenye uwiano bora, wapo walomponda na kusema hana nafasi lakini pia wapo walomsifia...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
Wanabodi, Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana...
10 Reactions
160 Replies
16K Views
Wanabodi, Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka...
12 Reactions
90 Replies
9K Views
Sambamba, je, kusaidia kumaliza au kupunguza uhasama, mizozo na mpasuko, Zanzibar inahitajia haki ya kijinai (criminal justice) au inahitajia zaidi haki ya kisiasa (political justice)? Na, Khalid...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Uchaguzi wa Zanzibar haukuwa Huru na Haki! Huo ndio msimamo wangu na hata ndio msimamo wa walio wengi akiwemo Maalim Seif! Lakini hili haliondoi umuhimu wa mazungumzo na maridhiano. Kutaka...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Sasa ni bayana Wananchi tuamke na kusahau siasa kama njia ya matumaini mapya. Siasa imekua ulaji na mwenye kisu kikali ndo anayekula. Makundi ya watu wenye nguvu ndo wanufaika wa mfumo huu. Kama...
3 Reactions
4 Replies
622 Views
Alikuja kwa kiki kubwa akatoa maazimio kibao ambayo hadi leo yamebaki kuwa historia na hatimaye na yeye mwenyewe amepotea gafla kwenye vyombo vya habari. Je, kuna anaejua wapi alipo?
2 Reactions
131 Replies
15K Views
Nilimsoma Tundu Lissu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali Uchaguzi haukuwa huru na haki. Nimemsoma tena Tundu Lissu akiwalaumu ACT-Wazalendo na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Tatizo kubwa la upinzani wa Tanzania ni kufanya siasa za mazoea na mihemko, vyama vinashindwa kujenga wanachama kwa mifumo ya kiitikadi. Pia vimeshindwa kutafuta wanachama kwa Makundi ya Vijana...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Nilitamani sana kufikia hatua ya kuwa na nchi ambayo Chama kinachoshindwa kinasema "tunawashukuru wananchi kwa kura mlizotupa,hazikutosha tunajipanga upya kwa uchaguzi ujao" Sidhani kama...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa Kifupi idadi ya Mawaziri na Naibu Waziri ni 34, Kati ya hao: Prof - 4 PhDs - 7 Masters - 20 1st Degree - 1 Diploma + - 2 Pata undani wa Elimu za Baraza: Rais: Dr. John Pombe Joseph...
2 Reactions
48 Replies
12K Views
Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo...
17 Reactions
79 Replies
8K Views
Imeonekana NCCR-Mageuzi ndiyo chama pekee chenye kuamua kwa niaba ya Taifa. Kwa siasa za chama kile za kidiplomasia na za kipadre ni wazi hatuwezi kuwa na vyama vya harakati ngumu kwa mazingira ya...
-1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), kupitia mradi wake wa Uimarishaji wa Halmashauri za Miji – Urban Local Goverement Strengthening Program (ULGSP), umetumia shilingi billioni 7.4...
1 Reactions
3 Replies
922 Views
Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, John Samuel Malecela amewataka watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika juhudi za kujenga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom