Uchaguzi 2020 TBC ni waungwana sana leo wameripoti mkutano wa kampeni wa CHADEMA kule Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo.

Leo wameripoti katika taarifa ya habari yaliyojiri katika mkutano wa Chadema pale Unguja.

Hongereni TBC kwani mtoto akinyea mkono hauukati.

Maendeleo hayana vyama!
 
CHADEMA, TBC, NEC na Jukwa la Wahariri walikutana Kwa ajili ya kujadili yaliyotokea siku ya Uzinduzi wa Kampeni za CHADEMA na kukubaliana Mambo kadha wa Kadha na ndio maana umewaona huko.
 
Back
Top Bottom