Zitto Kabwe mpishe Maalim Seif awe kiongozi wa chama

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,612
2,000
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.

Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.

Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto kukubali kuungana na Seif, ni wazi kabisa Zitto alikubali "kukiuza" chama kwa Seif na kundi lake. Sio kila mtu anaweza kuona lakini ni wazi kuwa Zitto hana Sauti kwa "Wazanzibari" walio ACT. Hata ukiitazama composition ya Kamati kuu yao utakubaliana na mimi kuwa Seif amekinunua ACT.

Tukija kwenye mada, kwa kuzingatia Uzoefu wa Kisiasa alionao Maalim, Umri wake, Heshma yake, Kuaminika kwake hata kama ame surrender kwa maCCM na nafasi yake katika Serikali, ili kusiwepo mgongano wa kimaamuzi ni wazi Zitto Kabwe anatakiwa kuukabidhi uongozi wake kwa Maalim Seif na yeye Zitto labda abaki kuwa Mwenyekiti au awe na nafasi nyingine hata ya Ushauri wa Chama.

Nimeelezwa na Credible Source kuwa Zitto yeye binafsi hakupenda ACT ijiunge SUK, lakini alizidiwa nguvu na "wenye chama" na kwasababu ya collective responsibility amekubali kuimba mapambio ya sifa kwa maalim. Zitto alijua na anajua kuwa atapoteza wanachama wake wengi kwa uamuzi huu.

Zitto anajua n anaelewa wazi kuwa Maalim hana interest yoyote na kukua kwa chama huku bara. Zitto anajua wazi kuwa Maalim anaangalia maslah yake kwa Zanzibar na kwa maana hiyo anajua gharama za kujiunga na SUK, hakuitaka hiyo ila Composition ya Kamati kuu ambayo hupiga kura maamuzi yoyote yale, ilimshinda na amelazimika kukubali kuepusha madhara zaidi.

Sasa Zitto umeshageukia KIBLA, mwachie chama Maalim.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
39,154
2,000
Maalim aliomba kuingia CHADEMA wakamtosa sababu wanajua matatizo yake.
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,739
2,000
Kwani katiba ya ACT inasemaje?

Nje ya mada: eti maCCM

Mwanaume kuiga tusi kuoka kwa mwanaume mwenzako ni upumbavu uliopitiliza!
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,444
2,000
Zitto arudi CHADEMA tu, It can be better for him, lakini sioni future ya ACT Bara

Maalim amekuwa very selfish this time around, move yake hii haiisaidii ACT kuimarika na kuwa nguvu nchi nzima bali imefanikisha yeye kupata ving'ora vya SMZ tena.

Zitto na Vijana wake wa ACT wamepambana sana kujenga chama kwa jasho halafu credibility ya chama inakuja kuuzwa kwa thamani chache tu ya vyeo ambavyo havijai kiganjani. Inauma sana!
 
Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
7,810
2,000
Naona wakulungwa kama kawaida yenu kwenye kamati ya fitna na propaganda.
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,128
2,000
Zitto arudi CHADEMA tu, It can be better for him, lakini sioni future ya ACT Bara

Maalim amekuwa very selfish this time around, move yake hii haiisaidii ACT kuimarika na kuwa nguvu nchi nzima bali imefanikisha yeye kupata ving'ora vya SMZ tena.
Maalim Seif ni mtu selfish tangu zamani sana. Ni yeye aliyekwenda kujikomba kwa Mwalimu JK Nyerere kumchongea Aboud Jumbe na kufichua mpango mkakati akidhani atapewa Nchi.

Huyu ndugu (na wanasiasa wote for that matter) wanaangalia kwanza maslahi yao. I won’t blame him though kwa sababu watu wengi sana most likely wangefanya alichofanya yeye sasa kama wangekuwa kwenye viatu vyake.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,444
2,000
Maalimu alimpindua mapalala zitto siku zake zinahesabika!
Na kwa kuwa Maalim kajisalimisha kwa system, System haiwezi kuona tabu kumnyang'anya Zitto chama waipe camp ya Maalim unless Zitto naye accomply kwa kile system inachokitaka!

Zitto kawekwa mtu kati, labda sasa hivi apige pesa tu za kumnyamazisha atulie, lakini jasho lote la kuijenga ACT hadi kuwa chama cha kukubalika na wananchi zimefutwa juzi na uamuzi uliobase kwenye njaa ya genge la maalim zaidi!
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
1,356
2,000
Uchaguzi wa Oct 28, ulikuwa huru na haki kabisa. Sasa muda wa kuchapa kazi.
 
kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,160
2,000
Kwani zitto unamchukuliaje kwa fursa!
Na kwa kuwa Maalim kajisalimisha kwa system, System haiwezi kuona tabu kumnyang'anya Zitto chama waipe camp ya Maalim unless Zitto naye accomply kwa kile system inachokitaka!

Zitto kawekwa mtu kati, labda sasa hivi apige pesa tu za kumnyamazisha atulie, lakini jasho lote la kuijenga ACT hadi kuwa chama cha kukubalika na wananchi zimefutwa juzi na uamuzi uliobase kwenye njaa ya genge la maalim zaidi!
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
3,126

Hivi aliesababisha chama kikanulikana ni Maalim am Zitto?
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,415
2,000
Kichwa Habari sahihi tukiitaje hapa_ Viongozi wa Vyama rafiki au!  - tukio la Uap ( 419 X 640 ).jpg
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,612
2,000
Tatizo la wabongo akili hakuna, kumbukumbu hakuna, tunapenda makubwa tukiwa tumekaa, tupo tupo tu kama paka la baa.

Ndio maana Magufuli au CCM au wanasiasa wanafanya chochote wawezacho.

Kila siku tunajadili upuuzi ule ule utafikiri tumezaliwa jana.
Asante dada kwa mchango wako
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
37,572
2,000
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.

Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.

Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto kukubali kuungana na Seif, ni wazi kabisa Zitto alikubali "kukiuza" chama kwa Seif na kundi lake. Sio kila mtu anaweza kuona lakini ni wazi kuwa Zitto hana Sauti kwa "Wazanzibari" walio ACT. Hata ukiitazama composition ya Kamati kuu yao utakubaliana na mimi kuwa Seif amekinunua ACT.

Tukija kwenye mada, kwa kuzingatia Uzoefu wa Kisiasa alionao Maalim, Umri wake, Heshma yake, Kuaminika kwake hata kama ame surrender kwa maCCM na nafasi yake katika Serikali, ili kusiwepo mgongano wa kimaamuzi ni wazi Zitto Kabwe anatakiwa kuukabidhi uongozi wake kwa Maalim Seif na yeye Zitto labda abaki kuwa Mwenyekiti au awe na nafasi nyingine hata ya Ushauri wa Chama.

Nimeelezwa na Credible Source kuwa Zitto yeye binafsi hakupenda ACT ijiunge SUK, lakini alizidiwa nguvu na "wenye chama" na kwasababu ya collective responsibility amekubali kuimba mapambio ya sifa kwa maalim. Zitto alijua na anajua kuwa atapoteza wanachama wake wengi kwa uamuzi huu.

Zitto anajua n anaelewa wazi kuwa Maalim hana interest yoyote na kukua kwa chama huku bara. Zitto anajua wazi kuwa Maalim anaangalia maslah yake kwa Zanzibar na kwa maana hiyo anajua gharama za kujiunga na SUK, hakuitaka hiyo ila Composition ya Kamati kuu ambayo hupiga kura maamuzi yoyote yale, ilimshinda na amelazimika kukubali kuepusha madhara zaidi.

Sasa Zitto umeshageukia KIBLA, mwachie chama Maalim.
Kwa Situation waliopitia Maalim ndani ya CUF ni bora walivyojoin ACT wazalendo!! nawapongeza Maalim na Zitto kufikia maridhiano!! Hapo aliyeumia ni Le profeseli.
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,102
2,000
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.

Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.

Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto kukubali kuungana na Seif, ni wazi kabisa Zitto alikubali "kukiuza" chama kwa Seif na kundi lake. Sio kila mtu anaweza kuona lakini ni wazi kuwa Zitto hana Sauti kwa "Wazanzibari" walio ACT. Hata ukiitazama composition ya Kamati kuu yao utakubaliana na mimi kuwa Seif amekinunua ACT.

Tukija kwenye mada, kwa kuzingatia Uzoefu wa Kisiasa alionao Maalim, Umri wake, Heshma yake, Kuaminika kwake hata kama ame surrender kwa maCCM na nafasi yake katika Serikali, ili kusiwepo mgongano wa kimaamuzi ni wazi Zitto Kabwe anatakiwa kuukabidhi uongozi wake kwa Maalim Seif na yeye Zitto labda abaki kuwa Mwenyekiti au awe na nafasi nyingine hata ya Ushauri wa Chama.

Nimeelezwa na Credible Source kuwa Zitto yeye binafsi hakupenda ACT ijiunge SUK, lakini alizidiwa nguvu na "wenye chama" na kwasababu ya collective responsibility amekubali kuimba mapambio ya sifa kwa maalim. Zitto alijua na anajua kuwa atapoteza wanachama wake wengi kwa uamuzi huu.

Zitto anajua n anaelewa wazi kuwa Maalim hana interest yoyote na kukua kwa chama huku bara. Zitto anajua wazi kuwa Maalim anaangalia maslah yake kwa Zanzibar na kwa maana hiyo anajua gharama za kujiunga na SUK, hakuitaka hiyo ila Composition ya Kamati kuu ambayo hupiga kura maamuzi yoyote yale, ilimshinda na amelazimika kukubali kuepusha madhara zaidi.

Sasa Zitto umeshageukia KIBLA, mwachie chama Maalim.
Ina maana Zitto ameshapokonywa chama? Naamanisha hana tena ushawishi wala sauti ndani ya ACT?
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
3,695

Mbona vyeo vipo vingi hapo ACT ama ww umekariri na kuona cheo kimoja?
ama unadhani katiba ya ACT ni sawa na katiba ya CCM??
 
RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
2,601
2,000
Zitto arudi CHADEMA tu, It can be better for him, lakini sioni future ya ACT Bara

Maalim amekuwa very selfish this time around, move yake hii haiisaidii ACT kuimarika na kuwa nguvu nchi nzima bali imefanikisha yeye kupata ving'ora vya SMZ tena.

Zitto na Vijana wake wa ACT wamepambana sana kujenga chama kwa jasho halafu credibility ya chama inakuja kuuzwa kwa thamani chache tu ya vyeo ambavyo havijai kiganjani. Inauma sana!
Zitto aombe kurudi CDM, kwahili kiukweli ACT wanelofanya sintokuja kuwaunga mkono kamwe katika maisha yangu. Nasubiri nione CDM nao kama wataweweseka, mpaka sasa naamini wamefanya ambalo watz wengi tunataka wafanye.
 
MrFroasty

JF-Expert Member
Jun 23, 2009
973
500
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.

Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.

Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto kukubali kuungana na Seif, ni wazi kabisa Zitto alikubali "kukiuza" chama kwa Seif na kundi lake. Sio kila mtu anaweza kuona lakini ni wazi kuwa Zitto hana Sauti kwa "Wazanzibari" walio ACT. Hata ukiitazama composition ya Kamati kuu yao utakubaliana na mimi kuwa Seif amekinunua ACT.

Tukija kwenye mada, kwa kuzingatia Uzoefu wa Kisiasa alionao Maalim, Umri wake, Heshma yake, Kuaminika kwake hata kama ame surrender kwa maCCM na nafasi yake katika Serikali, ili kusiwepo mgongano wa kimaamuzi ni wazi Zitto Kabwe anatakiwa kuukabidhi uongozi wake kwa Maalim Seif na yeye Zitto labda abaki kuwa Mwenyekiti au awe na nafasi nyingine hata ya Ushauri wa Chama.

Nimeelezwa na Credible Source kuwa Zitto yeye binafsi hakupenda ACT ijiunge SUK, lakini alizidiwa nguvu na "wenye chama" na kwasababu ya collective responsibility amekubali kuimba mapambio ya sifa kwa maalim. Zitto alijua na anajua kuwa atapoteza wanachama wake wengi kwa uamuzi huu.

Zitto anajua n anaelewa wazi kuwa Maalim hana interest yoyote na kukua kwa chama huku bara. Zitto anajua wazi kuwa Maalim anaangalia maslah yake kwa Zanzibar na kwa maana hiyo anajua gharama za kujiunga na SUK, hakuitaka hiyo ila Composition ya Kamati kuu ambayo hupiga kura maamuzi yoyote yale, ilimshinda na amelazimika kukubali kuepusha madhara zaidi.

Sasa Zitto umeshageukia KIBLA, mwachie chama Maalim.
Ni vipi kujiunga na SUK iathiri wanachama wa Bara ? Kujiunga na serekali ni kwa maslahi ya wazanzibari na watu wake, maamuzi haya ni sawa na kusema kile tunachopingana nacho kule Dodoma kwa CCM ndio unataka kifanyike ndani ya ACT.

Kama suala lina maslahi ya Zanzibari zaidi, na wazanzibari ndani ya chama wanakubaliana nacho basi wacha iwe hivyo. Kusema Zitto na ACT waanze kuforce masuala ya Zanzibar kama wanavyotaka wewe....nadhani hii ni akili ya kikoloni. Haina tofauti na kinachopigiwa kelele siku zote kwenye CCM.

Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili zenye mazingira tofauti sana. Kosa hili alilifanya Nyerere kwa kutofahamu au kukubali utofauti wa Zanzibar unahitaji sera tofauti kuanzia za kisiasa hadi kiuchumi na kijamii. Kwa mfano Nyerere alijikita na sera za siasa za kiafrika, hizi hazikuleta matunda Zanzibar. Akabakia kupeleka watu kwa maboti kufanya mauaji...n.k
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom