Zitto Kabwe, tunaomba status ya madeni yako na utueleze unataraji kuyalipa vipi nje ya ubunge

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.

Vile vile utueleze kama uliingia madeni mapya hapa katika( mfano kwenye kipindi cha kampeni)na ulikuwa unataraji utayalipaje iwapo hutakuwa mbunge.

Kwa kifupi na ikukupendeza, tueleze shughuli zinazokuingizia kipato nje ya ubunge .

CC: Halima Mdee na kundi lako maarufu kama Covid 19.
 
mwitaus

Member
Jan 18, 2011
62
125
Wewe ndio haupo sahahi unapenda kugusa wengine lakini wenu akiguswa basi ni tabu ukitaka majibu ya hoja yako unge elekeza kwa wote kama nilivyokwambia sio kushambulia mmoja wamefaya maamuzi kwa taratibu zao kama nyie mlivyofanya kwa taratibu zenu shida iko wapi?
 
Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
5,858
2,000
ACT - Wazalendo kabla ya kukubali kuingia kwenye "SUK" walikaa vikao kadhaa na Balozi Wa Marekani.

Leo Balozi Wa Marekani amekua wa kwanza kupongeza hatua ya ACT - Wazalendo kukubali SUK.

Tundu Lissu
na ACT - Wazalendo ndio wataisababishia madhara makubwa sana serikali ya CCM muda si mrefu (Japokua mpaka sasa hivi wameshaijeruhi sana tu, ila wanaficha ukweli na kujikaza kiaskari). Wengi watalidharau hili na kulipinga.

Mwaka huu na mwakani serikali "ITAKOPA SANA NA KUJILIMBIKIZIA MADENI MENGI SANA", ambayo mpaka wajukuu zetu watayakuta.

Sisi watanzania wengi tunakwenda kwa kufuata mkumbo. Hio picha ni foundation ya sinema inayojiri muda si mrefu ya kesi ya ICC na African Court On Human And Peoples Rights.

Stay tuned. Yajayo yanafurahisha.
ICC ni mahakama ya wanachama walio weka saini makubaliano ya Rome. Nchi ikijitoa ICC, mahakama haina nguvu ya kusikiliza au kuchunguza kesi za nchi hiyo. Kwanza ni kituko kufikiri ICC itapokea kesi kutoka kwa mtu binafsi bila kupitia taasisi zinazo kubalika kama Serikali au UN.
 
ilu

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,058

Inaonekana hujui international criminal law. Nenda soma trigger mechanisms of the ICC jurisdiction. Sawa kesi ya Tanzania inaweza isifikie sifa ya kufunguliwa ICC ila si kwasababu ya trigger mechanism. Mtu yeyote anaweza trigger jurisdiction of the ICC through Prosecutor proprio motu. Kimsingi Tanzania ni member wa ICC na ni miongoni mwa nchi za mwanzo kabisa kisign the Rome Statue of the International Criminal Court.
 
ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
2,710
2,000
Sikuona haja ya TAL kukimbia nchi.aliahidiwa kazi na Rais.

Kweli mabeberu wamevishika vichwa vya baadhi ya watu.hapakuwa na ishara yoyote ile ya kufanyiwa hujuma wala nini.

Au atarudi akisikia DPP amemfutia kesi zake zoote ?

Nikiwa kama mtanzania sijaona sababu ya yeye kukimbia nchi.sisi tunajivunia kushiriki kuijenga nchi yetu. aje tu teuzi zipo nyingi Sana cha msingi tu aridhike na atakachopata.

Mbona ZZK yupo tu anakomaa akisubiria uteuzi apige kazi.?
 
You can trigger mechanism but is there any case to answer? considering ICC doesn't prosecute gov nor institutions? kama watu walikataa kutii amri halali ya kutofanya fujo au kutoandamana na kutishia usalama wa watu wengine sheria za nchi zikatumika, were is the case there?

Kuna tofauti kati ya chombo kinachojaribu kuweka usalama kwa kuondoa wahalifu barabarani na yule aliyeambiwa tumia silaha yoyote ile iwe upanga au shoka au ya Jadi, lakini usiogope. Nani hapo ana kesi ya kujibu?

Tanzania ni member wa ICC, but for how long na hivi bunge lote ni la CCM?
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,753
2,000
Ndugu mtoa mada anaonekana ni mtu mwenye mawazo mapana na mjenga hoja mzuri sana.....anachagizwa tu na hulka ya kutohimiri hoja na mawazo kinzani.....

Kuweza kuhimili hoja kinzani bila jazba na mihemko ni hatua kubwa kuelekea kwenye ukomavu wa kisiasa na hatua kubwa kwa mwanasiasa.......udhaifu unaweza ukatumika dhidi yako kukubomoa kisiasa Au wewe kujijenga kisiasa.......

Anapenda yeye awazungumzie na kuwachambua wengine na huyo huyo hataki wengine wawazungumzie awapendao kwa fikra hasi........kwa mawazo haya anakosa sifa ya kuwa mwanasiasa....
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
14,502
2,000
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.

Vile vile utueleze kama uliingia madeni mapya hapa katika( mfano kwenye kipindi cha kampeni)na ulikuwa unataraji utayalipaje iwapo hutakuwa mbunge.

Kwa kifupi na ikukupendeza, tueleze shughuli zinazokuingizia kipato nje ya ubunge .

CC: Halima Mdee na kundi lako maarufu kama Covid 19.
Vita ya CHADEMA na Zitto naifananisha na vita ya Tundu Lissu na MaCCM.

CHADEMA hawajatumia risasi tu,labda ndicho kilichobaki.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,129
2,000
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.

Vile vile utueleze kama uliingia madeni mapya hapa katika( mfano kwenye kipindi cha kampeni)na ulikuwa unataraji utayalipaje iwapo hutakuwa mbunge.

Kwa kifupi na ikukupendeza, tueleze shughuli zinazokuingizia kipato nje ya ubunge .

CC: Halima Mdee na kundi lako maarufu kama Covid 19.
Dogo unateseka sana.

Ya Ufipa yamekushinda utayaweza za Zitto Kabwe na ACT wazalendo?
 
Chief

JF-Expert Member
Jun 5, 2006
2,464
2,000
Sikuona haja ya TAL kukimbia nchi.aliahidiwa kazi na Rais.
Kweli mabeberu wamevishika vichwa vya baadhi ya watu.hapakuwa na ishara yoyote ile ya kufanyiwa hujuma wala nini.
Au atarudi akisikia DPP amemfutia kesi zake zoote ?
Nikiwa kama mtanzania sijaona sababu ya yeye kukimbia nchi.sisi tunajivunia kushiriki kuijenga nchi yetu. aje tu teuzi zipo nyingi Sana cha msingi tu aridhike na atakachopata.
Mbona ZZK yupo tu anakomaa akisubiria uteuzi apige kazi.?
Wewe ni Magu?
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,660
2,000
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.
Madeni ya Zitto yanakuhusu nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom