Uhakiki unaofanyika kwa wastaafu wa Serikali unaoanza mwezi huu unahusisha watumishi wa umma yaani waalimu, wanajeshi, madaktari na wauguzi, makarani hadi maofisa wa juu wa serikali waliostaafu...
Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa...
Kwa mtu anayezijua vizuri siasa za nchi hii lazima atakuwa anajua kuwa bila ''mkono'' wa CCM, Zitto Kabwe asingekuwa hapa alipo kisiasa!
Ukweli huu ndio ambao ulimfanya Zitto Kabwe kutoaminika...
Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi...
Leo tarehe 9 Desemba 2020 ni siku ya kumbukizi ya Kupata uhuru wa Taifa la Tanganyika lakini pia ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa Mwanasiasa mashuhuri Freeman Aikael Mbowe.
Mheshimiwa Mbowe sio...
Waziri Mkuu wa Korea, Lee Nak-yon anatarajiwa kufanya Ziara ya siku tatu nchini Tanzania, kuanzia tarehe 21 - 23.07.2018. Madhumuni ya Ziara ni: kuimarisha ushirikiano na uhusiano wa kidiplomasia...
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?
NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli...
Mwaka 1988 Maalim Seif alifukuzwa CCM kutokana na mgogoro ndani ya chama.
Kwa kipindi cha miaka 26 Maalim Seif Hamadi amepambana bila kuchoka, amechochea mageuzi makubwa ndani ya Tanzania.
Maalim...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza makatibu tawala wa mikoa yote nchini, wahakikishe watendaji wote wa mikoa, wilaya, halmashauri, wasiende likizo ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya kwa...
Spika wa Bunge Mhesh Job Ndugai ataendesha shughuli hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Watakaoapishwa ni Dkt Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho.
Ni kazi ya wanaume wenye moyo wa kizalendo ndio ilipelekea watanzania tupate uhuru. Ilikuwa ni vita ya jasho na damu kuhakikisha wanajitawala tangia utawala wa mjerumani mpaka mwingereza. Mwaka...
Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam.
Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na...
Hii Imekuwa siku zote Watanganyika walio ndani ya Zanzibar na nje hukereka sana wanapoona Wazanzibar wakiungana.
Tuliliona hilo mwaka 2000 wakati Rais wa Zanzibar A. Karume alipata upinzani...
Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila...
Kamati kuu ya CHADEMA na Tundu Lissu akiwemo iliteua jina la mgombea Urais wa Zanzibar na baadaye likapitishwa na Kikao cha Baraza Kuu Tundu Lissu akiwemo pia.
Wakati wa kampeni Tundu Lissu...
Hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na ACT, ni geresha tu, na hapa CCM wana-buy time lengo likiwa ni kujipanga kwa 2025.
Binafs naona haya ni maridhiano baina ya wanasiasa juu ya namna gani...
Wakuu amani iwe nanyi
Mwendelezo wa mtifuano mkali, CCM sasa inamtetea mwanamke kwa kila namna.
Ni hivi: Jana spika Job Ndugai alisema kuwa hawezi kuwafukuza bungeni wale akina mama kwa sababu...
Naomba nichangie kidogo kwa hatua iliyofikiwa leo kwa Maalim Seif kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Kwanza niseme mimi ni muumini wa maridhiano na ninaunga mkono "dhana" ya maridhiano...
Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia...
Imeandikwa na Janeth Rithe, Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo.
Nimesoma maoni ya Ndg. Tundu Lissu kuhusu Uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.