Wacheni masihara Tanzania kama Tanzania ina maisha ya raha yaliyojaa undugu baina ya watu wa rika mbalimbali, matajiri na masikini alie na kazi na asie na kazi, kwa kweli tumeridhika na hali zetu...
2015 muda Kama huu Kigwangala alikuwa tayari ameshasimama getini kushughulika na watoro na wachelewaji maofisini.
Dakika Kama hizi tayari watu wameshafungasha virago kwa fitina za mkuu wa mkoa wa...
Tujipe muda wakupitia clips za zamani wakati wa kampeni, baada ya kampeni, akiwa anakula kiapo Bungeni na katika uwasilishaji wake wa mada maeneo mbalimbali utabaini yupo vizuri na wala ababaiki...
Imeandikwa na Janeth Rithe, Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo
Nimesoma maoni ya Ndg. Tundu Lissu kuhusu Uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar...
Waziri wa Fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu.
Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima...
Katika hali isiyokua ya kawaida inadaiwa kua kuna vuguvugu la ndani kwa ndani katika umoja huo linalohusishwa mikakati ya kuomba uungwaji mkono kutoka ngazi za juu ili kuitisha kikao cha wajumbe...
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la...
Raisi Donald Trump aliwahi kudai kaibiwa kura akiwa madarakani. Kura zikarudiwa kuhesabiwa baadhi ya majimbo( Georgia), matokeo ya pili yakaonyesha bado ameshindwa! Akakubali matokeo. Hii ina...
CV ya Naibu Waziri wa Madini inakatisha tamaa kuona anapewa sehemu nyeti kiasi hiki.
Uwekezaji uliofanyika kwenye Madini unahitaji msimamizi mwenye business mind kama akina Mwanyika ambaye...
TBC kuna mchungazi kwenye msiba wa Judge Nsekela anashusha nondo msikilizeni. Siamini masikio yangu, msikilizeni mchungaji.
Pia, Soma=>Kamishna wa Maadili, Jaji Harold Nsekela afariki dunia...
Inasikitisha sana kitengo hiki watu wanajifanya miungu watu na hawawezi kuguswa na mtu yeyeote, sasa Mheshimiwa Rais tunakuomba sana sie wakazi wa Dodoma jiji utusaidie sana maana watu wanaporwa...
Human Rights Day is observed every year on 10 December — the day the United Nations General Assembly adopted, in 1948, the Universal Declaration of Human Rights (UDHR). The UDHR is a milestone...
Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya...
Lengo la Uzi huu kukumbushana tena kwa furaha kubwa Maneno yaliyokuwa Maarufu miongoni mwa wadau wa Itikadi zote kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28.
Naomba nianze kama ifuatavyo:
1. Safari...
Kwa maoni yangu, ACT wame-surrender kwa Magufuli na maCCM. Hakuna Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar inayoamuliwa na Wazanzibari wenyewe; bali ile inayoruhusiwa na Watanganyika, yaani Magufuli...
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale.
Maalim Seif amesisitiza kuwa...
Kuna Aina nyingi Sana za rushwa.
Fedha
Mapenzi
Vyeo
Ahadi.
Tanzania tuna Rais anaepinga rushwa kwa vitendo.
Je, Rais huyu ameweza kuzuia rushwa ya fedha kwa baadhi ya VIONGOZi wa kisiasa kutoka...
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na...
Mhe. Rais wetu mpendwa, huyu waziri alie shindwa kuapa. Hivi ni kweli kashindwa au alipatwa na kihoro, ambacho wakati mwingine uleteleza kupatwa na wasiwasi, baridi nyepesi, ambayo umfanya mtu...
December 9th, 2020
Independence Day
Ni siku ya furaha kwa nchi yetu kukumbuka siku tuliyotoka kwenye ukoloni na kuanza kujiamulia mambo yetu wenyewe.
Cha kusikitisha ni kuwa miaka mingi baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.