Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Thadei Ole Mushi Picha number Moja ni Gorgui Lamine, huyu jamaa anatokea west Africa na alikuwa Ni Mkimbizi nchini Spain, akiwa anajishughulisha na shughuli zake za uuzaji wa bracelets mtaani...
7 Reactions
33 Replies
7K Views
Kama kuna eneo ambalo Watanzania wanakupongeza Rais JPM basi ni kuwa mkweli. Na jana ukiwa Kagera umekiri kuwa kweli huwa unakosea kuchagua viongozi. Hilo la kule Ubungo la watoto wa shule kukaa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KITABU CHA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN WILLIAM MKAPA. Nimefurahi sana kumaliza kukisoma kitabu cha Mheshimiwa Rais wa awamu ya tatu ya uongozi wa Taifa letu la Tanzania Mzee Benjamin...
11 Reactions
13 Replies
5K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku pia wenyeviti wa kamati hizo wakitajwa, wakiwemo baadhi ya wabunge waliofukuzwa uanachama wa...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka...
8 Reactions
65 Replies
6K Views
Mbunge wa Ilala Mussa Azzan 'Zungu' amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama na Humphrey Polepole kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
MAUSIA YA TAIKON WA FASIHI KWA HABARI YA SIASA WARAKA WA TANO KWA MWANANGU Mimi Baba Yako, Ndiye Taikon wa Fasihi mwana wa Tibeli, nyota ing'aayo yenye mbawa mbili. Nalikuandikia haya. Ikiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KWANINI WABUNGE WENGINE WAPO KWENYE KAMATI ZAIDI YA MOJA? Na Elius Ndabila 0768239284 Sawa! Swali lako ni la msingi. Labda kwa faida ya wengine nianze kwa kusema hivi:- Utaratibu unaongoza...
1 Reactions
3 Replies
765 Views
Akizungumza katika kukabidhi kwa Shule ya Ihungo baada ya ukarabati kufuatia tetemeko lililoikumba mkoa wa Kagera. Balozi wa Uingereza amedai kwamba Serikali ya Uingereza na Tanzania...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa kanda hiyo Mh Msigwa, viongozi wazito wa Kanda hiyo wamefika ndani ya Gereza hilo la Ruanda na kumsalimia ofisa wa kanda hiyo aliyewekwa kwenye gereza hilo kwa zaidi...
20 Reactions
91 Replies
8K Views
Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake. Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani...
6 Reactions
60 Replies
8K Views
Mchungaji Gwajima alisimamia mchakato wa Lowasa kuingia UKAWA, akasimamia Dr. Slaa kwenda ughaibuini baada tu ya kampeni 2015, kisha akasimama kuinanga CCM kabla ajaingia madarakani JPM. Baada...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020. Shule hiyo...
3 Reactions
125 Replies
16K Views
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi leo asubuhi Alhamisi Januari 14, 2021 amewasili Chato kwa ziara ya siku mbili. Akiwa Chato Dk Mwinyi na ujumbe wake watakuwa na mazungumzo na mwenyeji wao...
9 Reactions
58 Replies
7K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ameagiza kukamatwa kwa uongozi wa bodi nzima ya chama cha msingi cha Ngonda kufuatia upotevu wa gunia 10 za Wakulima. Gavana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Lazima utofautishe ziara za kiutendaji na ziara za kisiasa. Gambo haya unayolialia uliyatengeneza ukiwa RC Arusha dhidi ya MP/Mbunge godbless_lema. Leo yanakurejea wewe mwenyewe pole usilie...
14 Reactions
51 Replies
6K Views
Hii taarifa imenaswa mahali kua kuna kundi kubwa la wasanii muda si mrefu wataungana na msaani mwenzao Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA, kundi hilo linadaiwa kua na wasanii maarufu nchini hasa wale...
13 Reactions
80 Replies
12K Views
Waziri wa biashara Mh. Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia. Mwambe amesema bei kwenye soko la dunia imepanda kutokana na...
4 Reactions
102 Replies
11K Views
Back
Top Bottom