Rc Mghwira aitaka Kenya kuwaachia raia 7 wa Tanzania walioshikiliwa ''waachiliwe huru bila masharti'

Mama Anna ni kiongozi bora sana. Ana busara, weledi na sio mtu wa kukurupuka. Ni RC bora sana kuwahi kutokea
 
Mpelekeni yule RC wa Tanga akamalize hli, au aliacha kuwa mkuu wa mkoa? wakenya wanataka RC kama yule.
 
Back
Top Bottom