Balozi wa Uingereza: Serikali ya Uingereza na Tanzania zimeshirikiana Ujenzi wa shule 500

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,670
40,917
Akizungumza katika kukabidhi kwa Shule ya Ihungo baada ya ukarabati kufuatia tetemeko lililoikumba mkoa wa Kagera.

Balozi wa Uingereza amedai kwamba Serikali ya Uingereza na Tanzania wameshirikiana Katika Ujenzi wa shule takriban mia tano 500 hapa nchini.

Aidha balozi huyo amekwenda kwa kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa mafanikio yake yaliyowazi kwa ongezeko kubwa la idadi ya wanafunzi wa kike mashuleni kuliko awamu zilizopita.

Hii ni ishara nyingine njema na ushahidi wa rekodi nzuri ya serikali katika kuboresha sekta ya elimu.

 
Back
Top Bottom