Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources.

The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company, OreCorp Ltd. at the Nyanzaga project in the northwest of the country, according to Mining Minister Doto Biteko.

The East African nation is Africa’s fourth-biggest producer of the precious metal and plans to increase mineral earnings by at least a third during the next three years. It also has vast deposits of coal, rare-earth metals, iron ore and gemstones.

“The government is in the final stages of awarding a special mining license to PR NG Minerals for it’s Ngualla Rare Earth Project,” Biteko said in an emailed response to questions. The company is a subsidiary of Australia-listed Peak Resources.

Rare earths are used in components for electric vehicles, smart phones, renewable energy equipment and defense applications.

Joint Ventures

Gold mining, now Tanzania’s leading foreign-exchange earner, is recovering following a slump after a crackdown on smuggling and a drawn-out dispute between the government and a unit of Barrick Gold Corp. froze exports.

The government intends to increase mining revenue to 701.1 billion shillings in 2023-24, from a projected 526.7 billion shillings in the current fiscal period. Tanzania will “increase revenues from the mining sector by 33%” by boosting production and exports, curbing smuggling and ensuring closer supervision of the industry, Biteko said.

Last month the government received its first cash dividend of $40 million from a 16% stake in a joint venture with Barrick. Tanzania plans to use the Barrick partnership as a model when negotiating joint-ownership deals with all major mining companies, including with AngloGold Ashanti Ltd., in line with mining laws passed in 2017, he said.
 
Nimefurah Sanaa kusoma hili bandiko,
Serikali Lazima iwe na vyangu vingi vya mapato ili kusudi ipate fedha za kutosha za kujenga nchi, kwa kasi hii tutapiga hatua kubwa kwa mda mfupi

Jibu; Sio kwamba Watanzania hawana ujuzi bali Muwekezaji mzalendo amekosekana, hapo mtaji mkubwa unahitajika boss hivyo hatuna budi kuangalia wawekezaji wa nje
 
Wanaohusika na mikataba ya kiserikali kuna mahala wanakosea! Yes, tuingie mikataba ya kimataifa lakini mikataba iwe na power of positivity. Naamini mkataba huu usingeishia kuchimba na kuondoka wangeweka vipengele vya kushinikiza kampuni husika, wizara ya mambo ya nje ya kimataifa na wizara ya teknolojia ya Australia kuleta viwanda vitatu Tanzania.

Kiwanda cha simu, kiwanda cha tarakilishi na sayansi ya kompyuta na kiwanda cha magari. Viongozi tuliowapa dhamana jaribu kushirikisha damu changa na watu wenye exposure katika masuala ya madini na teknolojia.
 
Uchimbaji wake huaribu sana mazingira!
Mchimbaji mkubwa na mwenye madini mengi ni china
 
Wanaohusika na mikataba ya kiserikali kuna mahala wanakosea! Yes, tuingie mikataba ya kimataifa lakini mikataba iwe na power of positivity. Naamini mkataba huu usingeishia kuchimba na kuondoka wangeweka vipengele vya kushinikiza kampuni husika, wizara ya mambo ya nje ya kimataifa na wizara ya teknolojia ya Australia kuleta viwanda vitatu Tanzania.

Kiwanda cha simu, kiwanda cha tarakilishi na sayansi ya kompyuta na kiwanda cha magari. Viongozi tuliowapa dhamana jaribu kushirikisha damu changa na watu wenye exposure katika masuala ya madini na teknolojia.
Ni Wazo zuri mkuu
 
Nimefurah Sanaa kusoma hili bandiko,
Serikali Lazima iwe na vyangu vingi vya mapato ili kusudi ipate fedha za kutosha za kujenga nchi, kwa kasi hii tutapiga hatua kubwa kwa mda mfupi
.
.
.
Jibu; Sio kwamba Watanzania hawana ujuzi bali Muwekezaji mzalendo amekosekana, hapo mtaji mkubwa unahitajika boss hivyo hatuna budi kuangalia wawekezaji wa nje
Mabeberu
 
Ni Wazo zuli mkuu
Kila aina ya madini na utendaji wake wangeliweka vipengele aidha ni dhahabu au almasi basi mchimbaji na serikali yake chini ya wizara ya nje awekeze katika kiwanda cha kutengeneza vito ndani ya taifa.

Ikiwa wavuvi wa kimataifa basi kuweka kiwanda cha samaki, anayelima na kuchukua cocoa basi ni kuweka kiwanda cha chocolate. Nasisitiza kwa tuliowapa dhamana kukaa kwa makini na kufanya mikataba yenye tija.
 
1604664214375.png

Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources.

The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company, OreCorp Ltd. at the Nyanzaga project in the northwest of the country, according to Mining Minister Doto Biteko.

The East African nation is Africa’s fourth-biggest producer of the precious metal and plans to increase mineral earnings by at least a third during the next three years. It also has vast deposits of coal, rare-earth metals, iron ore and gemstones.

“The government is in the final stages of awarding a special mining license to PR NG Minerals for it’s Ngualla Rare Earth Project,” Biteko said in an emailed response to questions. The company is a subsidiary of Australia-listed Peak Resources.

Rare earths are used in components for electric vehicles, smart phones, renewable energy equipment and defense applications.

Joint Ventures

Gold mining, now Tanzania’s leading foreign-exchange earner, is recovering following a slump after a crackdown on smuggling and a drawn-out dispute between the government and a unit of Barrick Gold Corp. froze exports.

The government intends to increase mining revenue to 701.1 billion shillings in 2023-24, from a projected 526.7 billion shillings in the current fiscal period. Tanzania will “increase revenues from the mining sector by 33%” by boosting production and exports, curbing smuggling and ensuring closer supervision of the industry, Biteko said.

Last month the government received its first cash dividend of $40 million from a 16% stake in a joint venture with Barrick. Tanzania plans to use the Barrick partnership as a model when negotiating joint-ownership deals with all major mining companies, including with AngloGold Ashanti Ltd., in line with mining laws passed in 2017, he said.
Unadhani kuchimba madini ni kama kuinamisha kiuno kuokota mawe!

Hata kujua tu kuwa hayo ni rare earth bila kuambiwa na mzungu wewe ungejua?
Biashara maana yake wote mnufaike na ndivyo serikali yetu inavyofanya, ukisoma sheria za madini zilizorekebishwa na JPM utaona jinsi nchi itakavyonufaika na rasilimali zake. Hata jana tu baada ya kuapishwa JPM amekazia hilo la nchi kunufaika na maliasili zake.

Elewa dunia nzima hakuna mru anaweza kupata faida asilimia 100 na rasilimali zake lazima win win situation iwepo.
 
Nilisema na nimesikilizwa, Nickel ya Kagera katika mkataba wake kitajengwa kiwanda cha uchenjuaji.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom